Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

@mawardat Yuko vizuri halafu Ni dogo tu hata miaka 30 hajafika sema Ile ishu ya mikopo inampa pesa Sana maana ana ofisi nchi nzima ofisi zaidi ya 400 kila wilaya
Ni kweli naona wakinga na wabena kwasasa wamegundulia hiyo biashara ya mikopo,
 
@mawardat Yuko vizuri halafu Ni dogo tu hata miaka 30 hajafika sema Ile ishu ya mikopo inampa pesa Sana maana ana ofisi nchi nzima ofisi zaidi ya 400 kila wilaya
Niliwahi sikia eti mabena hata 30yrs hajafika, mmmh ukute ameingia njia zisizofaa maana hela zina mengi bhana. Lol.
 
Au mahondaw hivi heaven sent yupooo
Good morning tichaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yupoooo atakua ametingwa kidogo ila juzikati alikuja kutusabahi selfika... kiukweli tumemmiso sana mama pasta Heaven Sent !

keshokutwa ntapita hapoo Dom ntakupungia walau mkonooo[emoji113]
 
Wapendwa naombeni mbwinu ya kumtapikia mtu nyongo humu jf pasipo kumkwaza 😂😂...maana ni mtu ninaemuheshimu ila amenikwaza kufikia maximum..friji langu limegoma kabisa kugandisha nimejitahidi kukausha na upole wangu lakini wapiiii...embu nipeni vi-tips uvumilivu umefika mwisho.... Ahsanteni
Mpotezeee tu!
 
Back
Top Bottom