Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Afu mie najua wee makao yako makuu ni Njombe, kumbe Iringa, nweiii siku yeyote nikiwa nateremka home ntakustua nikusabahii Mr F.

Kwa kweli njombee kuna baridi, yaan nlkua nakaa ndani na jiko la mkaa mweeh. Kwa kulala navaa vitu vingi na jacket juu.

Duuh pale hapanaaaaa,
Pamoja Sana mdgo wangu karibu mgeni nitakukaribisha na ulanzi kwanza
 
Pamoja Sana mdgo wangu karibu mgeni nitakukaribisha na ulanzi kwanza
Ulanzi nimekunywaaa sanaa likizo hii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza nshamic ulanzi mweeeeh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] napendaa ku kwich kwich kuliko kulaaa,
Urungu mtamuuu bhanaaa, chezea mti nyamaa weyeee. Lol
Uliitwa/ulikuwa unatafutwa kule kwenye uzi wa style ya kifo cha mende ili uweze kusema/kutoa ya moyoni kuhusu style yako pendwa pindi unapokuwa unazagamuliwa
 
Hilo soko liko vizuri mnooo, tatizo humo ndani watumiaji ndo wana haribu khaaah.

Nlizurura sana hapo mwezi uliopita, yaan Njombe ni ndogo kumbee.

Nlikaa km week 3.

Lutirage,
Joshoni
Mjimwema
Mpechi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee tupu. Ushuani ndo kunaitwa "gombati" nlikua hapo.
Dogo basi lako pendwa limepotelea wapi??

Tavavil?
 
Uliitwa/ulikuwa unatafutwa kule kwenye uzi wa style ya kifo cha mende ili uweze kusema/kutoa ya moyoni kuhusu style yako pendwa pindi unapokuwa unazagamuliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimechekaaa mnooo, cjauona huo uziii, kanitag kwan
 
Back
Top Bottom