Kichangani ya wapi bossNipo kichangani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahv nimehamia New Force.Nilipita shule ya Tanga naona ofisi zao zimefungwa,
New force sijawahi,
Nilikuwa naipenda sumry.
Mie super feo/selous tour forever[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahv nimehamia New Force.
Kwanza si amekufa yule mzee? Dar to Songea, Super feo ni Mafia, waligombana na new force.Biashara ngumu aisee owner wake alilalamika sana Kuna unfair competition cocastic
Hizo hapanaaaaa.Mie super feo/selous tour forever[emoji23]
Pia hii Nadhani Ni sababu labda walioachiwa wameshindwa kumuduAu kwavile mmiliki kafa na biashara kufa,
Super feo/selous itambe tu kwa huku. Kila siku anaongeza route
Kwa kweli ni haswaaa.Au kwavile mmiliki kafa na biashara kufa,
Super feo/selous itambe tu kwa huku. Kila siku anaongeza route
Amekufa alieongea hayo maneno Ni msimamiz lakini nahisi Ni Mambo ya marehemu kufa na chakeKwanza si amekufa yule mzee? Dar to Songea, Super feo ni Mafia, waligombana na new force.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkono ulipigwa hapoo
Tena ile ya Bombambili ndo kaliiii, yaan Mabenaa anakuja motooo, toka kwa mikopooo bubu had petrol station,
Sana mabena ndiyo habari ya songea na biashara ya kukopesha pesa.
Msigwa wamuache[emoji91]Kwanza si amekufa yule mzee? Dar to Songea, Super feo ni Mafia, waligombana na new force.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkono ulipigwa hapoo
Weeeeh hii ni kama maji[emoji23]Hizo hapanaaaaa.
Kafa hata miezi sita haijafika eti,Pia hii Nadhani Ni sababu labda walioachiwa wameshindwa kumudu
@mawardat Yuko vizuri halafu Ni dogo tu hata miaka 30 hajafika sema Ile ishu ya mikopo inampa pesa Sana maana ana ofisi nchi nzima ofisi zaidi ya 400 kila wilayaTena ile ya Bombambili ndo kaliiii, yaan Mabenaa anakuja motooo, toka kwa mikopooo bubu had petrol station,
Na ile ya mitawa kwa mbelee yake pia eeeh? Watu wana helaaa aseeeh. Afu Songea imebadilika sanaa.
Yaani mabena[emoji91]. Ya bombambili ushawahi kupita mida ya jioni??Tena ile ya Bombambili ndo kaliiii, yaan Mabenaa anakuja motooo, toka kwa mikopooo bubu had petrol station,
Na ile ya mitawa kwa mbelee yake pia eeeh? Watu wana helaaa aseeeh. Afu Songea imebadilika sanaa.