Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hilo soko liko vizuri mnooo, tatizo humo ndani watumiaji ndo wana haribu khaaah.

Nlizurura sana hapo mwezi uliopita, yaan Njombe ni ndogo kumbee.

Nlikaa km week 3.

Lutirage,
Joshoni
Mjimwema
Mpechi

hatareee tupu. Ushuani ndo kunaitwa "gombati" nlikua hapo.
Njombe ndogo Sana Ila ule msoko dah waliua Sana ,,. Dgo unafika njombe bila kutuona wazee wa Kijiji hizo Ni dharau,, joshoni kule Kuna mamayako mdogo usingizi wangu
 
nimechekaaaa, kuna siku nilipishana na Range pale kanisan Chaugingi, nilikumbukaa wee na v8 yako. Had nkajisemea ukute ndo yeye Mr F,

Sikua na ako ningekutafta mbna, nlikaa sanaa week 3,

Joshoni karibu na makaburi, na palee soko bubu.

Hata stand ya njombe nimeikubali kwa kweli, iko vizureee.
 
Dgo ulifeli Sana ungenichek hata humu jf, nimekaa njombe mwezi mzima nimerud juzi hapa kwa Wala mbwa,, usiku Pana viwanja pale vinabamba nikawa nashangaa tu,Sasa pale soko bubu mitaa Ile Ile najifichaga pale
 
Afu mie najua wee makao yako makuu ni Njombe, kumbe Iringa, nweiii siku yeyote nikiwa nateremka home ntakustua nikusabahii Mr F.

Kwa kweli njombee kuna baridi, yaan nlkua nakaa ndani na jiko la mkaa mweeh. Kwa kulala navaa vitu vingi na jacket juu.

Duuh pale hapanaaaaa,
 
Back
Top Bottom