mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,678
- 45,412
Umejipanga sawasawa lakini? auAstaghafulilah
Umejipanga sawasawa lakini? auAstaghafulilah
Yaan bora hata umuambie, wapo watu 4 humu ndani sijui wakojeee.We jamaa kuwa makini, mambo ya kuchafuana sio
ndo mambo mazuri hayo 😂😂😂dini inaruhusu utakuwa km bugati😂Mimi tayari ila nataka kuongeza
Kwamba hunitaki ama?
Utoto unamsumbuaYaan bora hata umuambie, wapo watu 4 humu ndani sijui wakojeee.
Yaan huyo hapo ndo alivyo ana stress za maisha, hapa anataka lupumzikia watu, bora umpe onyo ajikataeee
Anaboa sanaaaa.
😂😂Shangazi umri umeniacha sana mambo ya kwaito niwaachie nyie wenye miaka 20 mie ndo kusombwa tu 😂😂😂Shangazi umekulaa nn wee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangazi, weekend nitoe out basi 🙂🙂😂😂😂😂😂
Shangaz hunipi mualiko Tena nipo likizo hivoMwezi huu naolewaaa shangaziiii. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nataniana na shostitio wanguMuache kijana wa watu
Halafu mnapendezanaje shouz[emoji7][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] story ziko 2,
Afu huyu captain wako sina mazoea nae eti, yeye ndo anapenda kunichokozaaa, akae kmya aone km mie hata ntamtaja. Wee.
Usijali ngoja nivunje vikoba siunjua Dec hii 😂Shangazi, weekend nitoe out basi 🙂🙂
Anafaidi Baba MtumishiUmeona eeh
Sasa na wewe
Upunguza(ge) hizo emoji
Uache tufaidi uumbaji
Nipe location aunt mm TenaShangaziii picha had siku ya birthday, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuje kupika ubwabwaaa, shughuri pambeeeee
DuhSasa mnakwama wapi [emoji19][emoji19]
Mbona nimewekaKwanza mtakatifu Anne selfie yako muhimu hapa ,tupia
Pelekeni fire 🔥🔥🔥