Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mtu wa 40+ kutwaaa kutaka kushindana na vitoto, c atulie home alee familia bhanaaaa.

Niko na masharobarooooo kwan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ulitupa wewe stori ya mbabu

Halafu kila siku unamquote Captain,unamdis ila unamkubali kiaina.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Si ulitupa wewe stori ya mbabu

Halafu kila siku unamquote Captain,unamdis ila unamkubali kiaina.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] story ziko 2,

Afu huyu captain wako sina mazoea nae eti, yeye ndo anapenda kunichokozaaa, akae kmya aone km mie hata ntamtaja. Wee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee utafia kifuani, unapendaa ngonooo mnooo. Khaaaaah.

Sasa hukumuoa kwan?
Hakuna binadamu aliyekamilika asiyependa ngono.

Sikumuoa kwasababu ya wivu kupindukia, hakutaka hata nisalimiane Wala kufanya mawasiliano na mtu yyt mwanamke, nikaona hapa hapana nikalala mbele
 
Hakuna binadamu aliyekamilika asiyependa ngono.

Sikumuoa kwasababu ya wivu kupindukia, hakutaka hata nisalimiane Wala kufanya mawasiliano na mtu yyt mwanamke, nikaona hapa hapana nikalala mbele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaa raha hizo aanzaje kukubaliii?
 
Back
Top Bottom