Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ulisema wee unaniuliza maswali mie napanick,. Nkakupa fursa haya uliza hayo maswali yako, kila ukiuliza nakujibu kulingana na swali lako.

Sahivi unaanza oooh nadanganya mara nazungumza uongo, hapo hapo unasema mie ni msenge, afu unataka nithibitishe, nikajua wee mwenyewe ndo unajua km mie m msenge na uthibitisho unao.

Wee ndo unatakiwa utoe uthibitisho wa madai yako.

...............
We ni msenge sio msenge?
 
Kuna siku mtu aliniungia kifurushi cha 30k japo hela ilikua yake, nkamchambaa akomeee, hela anipe niunge mwenyewee.

Ningeunga 10k, 20 ningetoa ningeweka bill ya mihogo na kachumbali kwa mama swaumu,

Naijua pesa kuliko hata inavyojijua enyewe. Uwiiiiiiih
Depends na matumizi..

10k me week tu 🥲

Ukiwa na matumizi utaacha hizo bla bla 🤣😆
 
Back
Top Bottom