Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Wapigwe tu 😂Mida mida karibu tuangalie mechi ya morroco.
Mwaka huu tunajambo letu cster.
Ndio🤣🤣🤣Hao ni watu sita tofauti 😂😂😂
Mngh!
Ndio nzuri pale zinapopita pita shingoni hivi lazima usisimuke tu😂😂Hapana aisee Ndevu kma stiliwaya
Mtakatifu mtakatifu Baba yetu uketiye mahali pa juu, tunakuomba utuepushe na dhambi ya kusema uongo..........
Canada vs morroco.Ooh thank you
wanacheza na nani ? , mtupe info please .
mpira upo tofauti mwaka huu ngoja tuone .
Niseme uwongo ili iweje mpenzi 🙂🙂Kumbe kuna wanaume ambao hawasemi uongo na hamsemi
Mtakatifu mtakatifu Baba yetu uketiye mahali pa juu, tunakuomba utuepushe na dhambi ya kusema uongo..........
Niendelee Saint Anne?



uzuri niko njiani naenda church kuombanani yanga? Na ihefu ehWapigwe tu 😂
😂😂Asubuhi ukiamka kama umekwanguliwa na uma 😂😂Ndio nzuri pale zinapopita pita shingoni hivi lazima usisimuke tu
AmenCanada vs morroco.
Croatia vs Belgium
Yes ni tofauti mwaka huu it's coming home via morroco
Ila usiku zikipita unasikia raha 😅😅😂😂Asubuhi ukiamka kama umekwanguliwa na uma 😂😂




kwahiyo unadanganya kwakuwa unaenda church kuomba?Utanigombanisha na watu 😂😂😂nani yanga? Na ihefu eh
Nyie bila kusema uongo nahisi mtapungukiwa damuNiseme uwongo ili iweje mpenzi 🙂🙂
Asante Sana. BarikiwaKaribu pia naelekea church mida hii
Raha wapi kuuguza vidonda tu😀Ndevu hazina hata rangi utasema kapita barabara yenye vumbiIla usiku zikipita unasikia raha 😅😅