Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Happy New Month wapendwa wa Mungu

From January to December ni Mungu tu [emoji119]
We have been a lot [emoji119]
A lot wanted to kill us in anyway.. ila ni yeye tu ametupigania [emoji847]

#Ni Wewe by Mathias Walichupa [emoji444][emoji445]
Yeaaaaah birthday month., mkujee na zawadiii dyadyaaa.
 
Asante kwa kutukumbusha mpwa. Mi na mama E ndo tupo tunachacharika hapa kabla mwaka haujaisha. Na Bosi Ledi ndiyo anaratibu mipango yote. Inshallah jiandae kula pilau la ukweli mpwa kabla mwaka haujaisha! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2432141
Kheeeh kumbe babuuu unapendwaa hivyo,, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amen amen Amen best akeee!!
Ndoa ni Jambo jemaaa na la baraka heshima pia I'm very happy for you dears!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7]!

Nawatakia kheri baraka na amani na mafanikio, heri pia ya mwanzo wa mwezi, nawaombea ukawe mwezi mzuri kwenu na mwisho mzuri wa mwaka kwenu pia , muwe na wakati mwema na maandalizi mema best akeee tupo pamoja sana katika maombi na maandalizi And God bless you guys!! [emoji3577][emoji3577]!!!!

All the bests [emoji7][emoji7][emoji7][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]


Bwana Harusi mtarajiwa .
Nawee uoleweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwezi huu naolewaaa shangaziiii. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Babayako atafurahi sana i, unakuja kuolewa, ndugu zako, wazazi wako mtaani hapo watafurahi kabisa mtoto wao anaolewa, kaka zako, dada zako, wadogo zako watafurahi unaolewa... Hivi hio ndoa utafungia wapi kwanza? na nani atafungisha hio ndoa?
 
Back
Top Bottom