Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa mimi niteseke kwa sababu yako? we ndio hujiamini, usizungumzie nafsi yangu, kwa maisha nilioishi/ninayoishi nije niteseke kisa wewe? are you serious? mi nimekuuliza tu maswali ya kawaida ambayo yanahitaji majibu, mambo ya mimi kuteseka yanaingiaje mwanaume mwenzangu unaetaka kuolewa?
Unateseka na unaniwazaa mda woteeee, kwann hujiuliziii ushawahi ona mie nakushobokea wee? Kuku quote? Kureply comments zako?

Ila wee sasa usione nime comment ushafika ku reply, mara unitajee, uni quote, sometimes unakuta huusiki tayar ushajichomeka nawee umo, vipi una kwamaa wapiiiii?

Ngoja nikupe kavu sasa, walikua wenzio hapa, sio wee tena makundi kwa makundi na sio hapa selfika tyuuh ni majukwaa karibu yote, ila walishindwa wao,

Jf nzima inajua mie ni shoga, wapo wanao amini, wapo wasio amini, hilo suala langu kuwaaminisha. Kila mtu aamini anachoona kwake ni sawaaa.

Kwa kifupi acha shoboooo kwanguuuuu,
 
Back
Top Bottom