Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unateseka na unaniwazaa mda woteeee, kwann hujiuliziii ushawahi ona mie nakushobokea wee? Kuku quote? Kureply comments zako?

Ila wee sasa usione nime comment ushafika ku reply, mara unitajee, uni quote, sometimes unakuta huusiki tayar ushajichomeka nawee umo, vipi una kwamaa wapiiiii?

Ngoja nikupe kavu sasa, walikua wenzio hapa, sio wee tena makundi kwa makundi na sio hapa selfika tyuuh ni majukwaa karibu yote, ila walishindwa wao,

Jf nzima inajua mie ni shoga, wapo wanao amini, wapo wasio amini, hilo suala langu kuwaaminisha. Kila mtu aamini anachoona kwake ni sawaaa.

Kwa kifupi acha shoboooo kwanguuuuu,
calm-down-a-bit-calm-down.gif

We mi nimekuuliza maswali machache tu unaleta historia, calm down,relax, nimekuuliza huyo jamaa kaleta mahari kwenu na wazazi wako wamepokea? ameshajitambulisha? hio ndoa ukimpata mtoto wa kwanza utamuita nani?
 
Back
Top Bottom