Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Tubadilishane tu hivyohivyoOk! well...
Subiri kwanza nihamishe picha zangu..
Nitazitunza
Tubadilishane tu hivyohivyoOk! well...
Subiri kwanza nihamishe picha zangu..
Si ndio hivo, Yesu kakubebe na wewe umenibeba au hautaki we mtakatifu Anne?Yesu amenibeba
hapo nilikuwa nasuka dear 😍Bado Ulikua katotooo kazureeee as usual😍😍😍😍😍! Kumbe ukinyoa unapendeza pia dear!!
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
Nawe nibless mkuu kitambo sana jakuona!!!Niseme nini Mimi mbalizi1 kwako wewe Antonnia?! .....eti!!
Aaaaah.....sawa maama...
Asanteee
Hapana usije zivujisha, sikuamini kabisa..Tubadilishane tu hivyohivyo
Nitazitunza
Wooooiiiiiiii[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nawe nibless mkuu kitambo sana jakuona!!!
Ooooh maswali yenyeweee ndo hayaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
We mi nimekuuliza maswali machache tu unaleta historia, calm down,relax, nimekuuliza huyo jamaa kaleta mahari kwenu na wazazi wako wamepokea? ameshajitambulisha? hio ndoa ukimpata mtoto wa kwanza utamuita nani?
we acha tuDear sasa ubonge umekujajeee sasa naweee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikua kadogo dogo😍😍!hapo nilikuwa nasuka dear 😍
yeah nilikuwa kadogo hapo sijui first year .
Si tunabadilishana simu..Hapana usije zivujisha, sikuamini kabisa..
yeah nilikuwa kamodoUlikuwa kamodo kama mm
Kumbe unavaa miwani[emoji847]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nasubiria hapaaa wa kuwekanaaa do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Wooooiiiiiiii[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mbona midogo kabisa hiyo 😂yeah nilikuwa kamodo
mweh miwani Ile mikubwa
utaweza ushamba huu 🤣🤣
Nishaiwekaga Mbona!! Nahisi nilizifuta kuna hio tu!!🔥
Shusha camera tuone mtoko wa Mkemia wetu Dkt boss ledi
[emoji23][emoji23][emoji23]Wacha nami nikuweke tuwekaneNasubiria hapaaa wa kuwekanaaa do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hata kutafuta wazo huna. Uwiiiiihwe acha tu
Jana mtu kaniona kanipa hongera anajua mama k mie [emoji23][emoji23]