Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante kwa kutukumbusha mpwa. Mi na mama E ndo tupo tunachacharika hapa kabla mwaka haujaisha. Na Bosi Ledi ndiyo anaratibu mipango yote. Inshallah jiandae kula pilau la ukweli mpwa kabla mwaka haujaisha!
View attachment 2432141
Amen amen Amen best akeee!!
Ndoa ni Jambo jemaaa na la baraka heshima pia I'm very happy for you dears!!😘😘😘😍😍!

Nawatakia kheri baraka na amani na mafanikio, heri pia ya mwanzo wa mwezi, nawaombea ukawe mwezi mzuri kwenu na mwisho mzuri wa mwaka kwenu pia , muwe na wakati mwema na maandalizi mema best akeee tupo pamoja sana katika maombi na maandalizi And God bless you guys!! ✌️✌️!!!!

All the bests 😍😍😍🙏🙏🙏🙏🙏


Bwana Harusi mtarajiwa .
 
Amen amen Amen best akeee!!
Ndoa ni Jambo jemaaa na la baraka heshima pia!

Nawatakia heri baraka na amani na mafanikio, heri pia ya mwanzo wa mwezi, nawaombea ukawe mwezi mzuri kwenu na mwisho mzuri wa mwaka kwenu pia , muwe na wakati mwema na maandalizi mema best akeee tupo pamoja sana katika maombi na maandalizi And God bless you guys!! ✌️✌️!!!!

All the bests 😍😍😍🙏🙏🙏🙏🙏


Bwana Harusi mtarajiwa .
Ok, Well
 
Back
Top Bottom