Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tunashika nafasi ya 5 duniani. Be careful out there please!

IMG-20221201-WA0054.jpg
 
Tena atakuwa ana tabasamu mnooo, mama na dada zangu ndo wana gala gala chini kwa furaha, mtoto wao nakua rasmi Mrs Fulan,

C unajua Wangoni kwenye masuala ya ndoa? Hatuna mbambamba, tumenyooka km rulaaaaa.

Na wazazi wa huyo mmeo nao watatokea kuhudhuria harusi? unachozungumza ni uongo na kila mtu anafahanu hata shoga yako humu anafahamu na ana ku enjoy tu, hakuna kitu kama hicho...
 
nimechekaaaaa mnoooooo uwiiiiiiiiiii!!!!
Sasa if sio serious, why wee unakua bitter hivyooo?? Unaniachaga hoi sanaaaa.

Dunia pana hii iko zaidi ya uijuavyoooo, nikupeee poleeee kwa kujipa umuhimu na venye hamna. C utulie sasa nainjoiwa mie wee ndo utesekee kweliiii?

Karibu sanaaa siku ya tukiooo utakulaa na kunywaaa pilot, unakwamaa wapiiii?

Sasa mimi niteseke kwa sababu yako? we ndio hujiamini, usizungumzie nafsi yangu, kwa maisha nilioishi/ninayoishi nije niteseke kisa wewe? are you serious? mi nimekuuliza tu maswali ya kawaida ambayo yanahitaji majibu, mambo ya mimi kuteseka yanaingiaje mwanaume mwenzangu unaetaka kuolewa?
 
Back
Top Bottom