Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndo nikupigie tuzimalize ndani ya siku 3 Lenie View attachment 2432301
Kuna siku mtu aliniungia kifurushi cha 30k japo hela ilikua yake, nkamchambaa akomeee, hela anipe niunge mwenyewee.

Ningeunga 10k, 20 ningetoa ningeweka bill ya mihogo na kachumbali kwa mama swaumu,

Naijua pesa kuliko hata inavyojijua enyewe. Uwiiiiiiih
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Chizi wewe ujue!! Na kumchamba juu 😄🤣🤣!!
 
Kuna siku mtu aliniungia kifurushi cha 30k japo hela ilikua yake, nkamchambaa akomeee, hela anipe niunge mwenyewee.

Ningeunga 10k, 20 ningetoa ningeweka bill ya mihogo na kachumbali kwa mama swaumu,

Naijua pesa kuliko hata inavyojijua enyewe. Uwiiiiiiih
Unaolewa lini umesema?
 
Babayako atafurahi sana i, unakuja kuolewa, ndugu zako, wazazi wako mtaani hapo watafurahi kabisa mtoto wao anaolewa, kaka zako, dada zako, wadogo zako watafurahi unaolewa... Hivi hio ndoa utafungia wapi kwanza? na nani atafungisha hio ndoa?
ndoa itafungishwa na huwa anafungisha, ndoa itafungiwa inapotakiwa kufungika.

Sio ndugu hata malaika wema na wabaya watafurahi mie kuwa official Mrs Fulan. Weraaaaaaaah.
 
Hio ndoa wazazi wako watakwenda kuhudhuria mwanao anaolewa? yaani baba yako/mama yako na yeye akikaa na rafiki zake anakuwa anajisifu mtoto wake kaolewa?
 
Chizi wewe ujue!! Na kumchamba juu !!
ile siku aliniboaaa, afu wakat huo mama swaumu ananidai 10k, nkamuambia akomee kuunga kifurush kwa cm bila ridhaa yangu, yeye aweke hela kwa halopesa ajiache, kuunga naunga mie, eti lenyewe likaunga yote mxxxieeeeew.

Mie c ningetoa 20k, 10 ningelipa, 10 ningeweka bill upyaa.
 
Hio ndoa wazazi wako watakwenda kuhudhuria mwanao anaolewa? yaani baba yako/mama yako na yeye akikaa na rafiki zake anakuwa anajisifu mtoto wake kaolewa?
Tena atakuwa ana tabasamu mnooo, mama na dada zangu ndo wana gala gala chini kwa furaha, mtoto wao nakua rasmi Mrs Fulan,

C unajua Wangoni kwenye masuala ya ndoa? Hatuna mbambamba, tumenyooka km rulaaaaa.

ile siku aliniboaaa, afu wakat huo mama swaumu ananidai 10k, nkamuambia akomee kuunga kifurush kwa cm bila ridhaa yangu, yeye aweke hela kwa halopesa ajiache, kuunga naunga mie, eti lenyewe likaunga yote mxxxieeeeew.

Mie c ningetoa 20k, 10 ningelipa, 10 ningeweka bill upyaa.
Ushapiga hesabu ndefu yee analeta za kukuungia🤣🤣😄😄!
 
Back
Top Bottom