Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Yeah zina dakika nyingi kweli , Mimi nampenda Boaz danken . nyimbo zake zanibariki kweli .Hii nyimbo ina dk 10:34 mwee inahitaji utulivu wa hali ya juu kuusikiliza wote na kuconcentrate.
Ina maneno mazuri yenye faraja š
zinakupa relief fulani hivi ukipitia changamoto