Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mlioahidiwa mtaolewa na mlioahidi kuoa mwaka huu nawakumbusha zimebaki siku 30[emoji23][emoji23]

Happy new month
Asante kwa kutukumbusha mpwa. Mi na mama E ndo tupo tunachacharika hapa kabla mwaka haujaisha. Na Bosi Ledi ndiyo anaratibu mipango yote. Inshallah jiandae kula pilau la ukweli mpwa kabla mwaka haujaisha! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Screenshot_20221201-074117_WhatsApp.jpg
 
Asante kwa kutukumbusha mpwa. Mi na mama E ndo tupo tunachacharika hapa kabla mwaka haujaisha. Na Bosi Ledi ndiyo anaratibu mipango yote. Inshallah jiandae kula pilau la ukweli mpwa kabla mwaka haujaisha! [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2432141
Hongera mpwa Nawatakia maandaliz mema na Mungu awabariki sana mpwa
 
Back
Top Bottom