Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Mhola nhoi ntaleAnaolewa na Daktari. Huyu mpwa yaani basi tu. Ukoo wetu tumemkosa kizembe sana! [emoji16]
Mhola nzunaye?
Ūlīmahe?
Nhenasuma
Nde mu ng'wani
Mhola nhoi ntaleAnaolewa na Daktari. Huyu mpwa yaani basi tu. Ukoo wetu tumemkosa kizembe sana! [emoji16]
Mhola nzunaye?
Ūlīmahe?
Ninao pia huo, naupenda.mzuri sana
Dr.ipyana yupo vizuri nyimbo zake zote nzuri ,kuna mmoja unaitwa Kama si mkono wako .
Kha kwa ubabe huo no wonder mpingo alikosa utulivu 😂Unapiga piga, hupigi jikatae
Binti mzuri nikitoka nje nadaka vocha kama mvua au?
Na huu mmoja nilikuwa sikuelewiNinao pia huo, naupenda.
Nyimbo zake nzuri na hazichoshi kusikiliza muda wote.
😂😂😂 nikubembeleze ili iwe nn?Kha kwa ubabe huo no wonder mpingo alikosa utulivu 😂
Siufahamu huo, ngoja niucheki hapaNa huu mmoja nilikuwa sikuelewi
unaitwa hata Hilo litapita kaimba na Paul Clement. ni mzuri pia
Habari ya asubuhi lakini ?
Mwenyewe nashangaa 😂😂😂😂 nikubembeleze ili iwe nn?
Nzuri sweetheartNa huu mmoja nilikuwa sikuelewi
unaitwa hata Hilo litapita kaimba na Paul Clement. ni mzuri pia
Habari ya asubuhi lakini ?
African queenCall me African queen
Happy new month aunt😍Mlioahidiwa mtaolewa na mlioahidi kuoa mwaka huu nawakumbusha zimebaki siku 30😂😂
Happy new month
Blaza uhali ganiAfrican queen
Niko salama tu dadaBlaza uhali gani
🤣🤣 mimi huyoooNiko salama tu dada
U hali gani wewe kibwengo?
Leo usibanguke hapa chalii🤣🤣 mimi huyooo
Sina hali hapa as sina vocha
Nifanyie basi mpango, juzi ukanidanganya daah
nyimbo za dini huwa zinafariji sana , ukisikiliza unapata faraja sana .Siufahamu huo, ngoja niucheki hapa
Huku kwema dear, Mungu ni mwema, vipi wewe huko.
Hii nyimbo ina dk 10:34 mwee inahitaji utulivu wa hali ya juu kuusikiliza wote na kuconcentrate.Na huu mmoja nilikuwa sikuelewi
unaitwa hata Hilo litapita kaimba na Paul Clement. ni mzuri pia
Habari ya asubuhi lakini ?
Kukimbilia sitaki, nimeshastaafu mie umri hauniruhusu tena ujue.Leo usibanguke hapa chalii
Mzigo utapanda wa kutosha
Salama tu dear
Aliyekupa stress ndo akufarijiHii nyimbo ina dk 10:34 mwee inahitaji utulivu wa hali ya juu kuusikiliza wote na kuconcentrate.
Ina maneno mazuri yenye faraja 😍