Wazee bhana wapo vizuri huwezi fananisha na hao vijanaMiss you kipenzi πππSema neno roho yangu ipate kupona pullliiizzzzzzzzzzzzzzz π
Aliniacha mwenyewe mbona
π₯°π₯°π₯° Asante cc Lenie kwa kukazia, kugongelea na misumari ya zege
AkhsaaaaanteeeeeeeeeeππππWazee bhana wapo vizuri huwezi fananisha na hao vijana
they're really affectionate
WeuweeehKolezeaaa mamaaaa kolezeaaa wakueleweee!
NdiwoooooWazee bhana wapo vizuri huwezi fananisha na hao vijana
they're really affectionate
Hayana formula ndio lkn sio kujihusisha kweny mahusiano na vitotoWee dear, usiseme hivyo labda kwa mtazamo wako. Ila sio kivileee.
Mapenzi hayana 4mula.
EwaaahNdiwooooo
Weeeuweeeeeh πππ niletreee mzeee mie niletreeee kipenzi π€£π€£π€£!!Weuweeeh
wanajua kitu mwanamke anataka
ukipata mzee mmoja hapo akuspoil hadi unasahau vingine ππ
AmennnnEwaaah
Wazee waheshimiwe ππ
Namsaidia mdogo wangu hapo Coca, asije kupotezewa muda na kuchakazwa na vibishoo kisa vinavaa moka.
Nakupenda sana wewe mpenzi wa mjeda, nikipata mganga mashuhuri nitapiga ndumba π€£π€£π€£Miss you kipenzi πππSema neno roho yangu ipate kupona pullliiizzzzzzzzzzzzzzz π
Sioooo tuvijana vijana tulamba lipss siioooo visharobaro siooooooππ€£π€£π€£π€£π€£!! Waletreeeeeeee wazeeeee waletreeeeee! Afu wazeee waelewaaaaaπππππππHayana formula ndio lkn sio kujihusisha kweny mahusiano na vitoto
Daah yani nimejikuta naachia kicheko[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi nakuachaje kwa mfano [emoji848]
Chausiku anafatilia sana penzi letu
Eti tunavaaga satini na vitenge
Kumkomesha tufunge ndoa humu humu selfika
Sasa hotelin wanaenda na hela gan? Inaogopeshaaa.Af vinakuaga havina hata mia, ila picha sasa kutwa kupigia mahotelini.
Toa neno kibungo, achana na hizo kazi ukifa kesho wanatangaza nafasi ya kazi.Niache kwanza em π€£π€£
Nimetingwa balaaaa