Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati nipo 1St na 2nd yr, niliwatapeli sana watu mtandaoni.

Hata JF enyewee wako wawili, mwanzoni walinipapatikia khaaah nkawa saulaa m1 alintumiaga 80k ya kutumia, afu baadae ananambia tukutane ubungo plazaaa nkamchanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwingine alintumiaga 60k, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu ndo anakujaga had PM kuniambia kuhusu hela, huwa namuambiaga utangazie umma wa jf mie tapeli,. Anajibu "wee chizi ulivyo huna akili utanidhalilisha bureee"

Na sibadili acc wala jina,. Afu sijariiii yaaan. Nakutana nao kwenye nyuzi zingnee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣 Nacheka kama mazuri walaii shoss wewe 🙌🙌🙌🙌!!!
 
Mi nakutaman
 
Wow camera nzuri .
unaona kila kitu vizuri .
niliona watu wanaisifia sana
hata Nokia yupo vizuri kwa Camera .
Ndio simu zipo nyingi zina camera nzuri sana, kama unatokea kwenye Tecno sio lazima uwe na iPhone, kuna simu kama Xiaomi Redmi Note 10 Pro, ukiwa na Tshs 400,000/350,000 unapata na zina camera nzuri sana,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mitandaoni watu wanatapeliwa sana, ukiwa na customer care nzuri na mpangilio waa mtego!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una wasaulaaa haswaaa.
Wee ni Chizi ujue akili zako unazijua mwenyewe Hakyanani Nimechekaaaaa!!!🤣🤣🤣🤣
Mi mtu ntaekutana nae live hawezi amini kama ni mie wahapa! Ni mkimyaa sana afu hata siongei kiivo plus yani sina mbwembwe kama za nyuma ya keyboard kabisa!
 
Hahaha eti customer care nzuri [emoji23][emoji23][emoji23]mweh na unawapata hao .
wakikutafuta unawaambiaje sasa ?

nimewaona huruma hao wakaka dah .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wao huwa wana papalika na profile, picha mdoll bas full kutongozaaa, mie ndo nawa saulaaaa huko huko.
 
Wee ni Chizi ujue akili zako unazijua mwenyewe Hakyanani Nimechekaaaaa!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi mtu ntaekutana nae live hawezi amini kama ni mie wahapa! Ni mkimyaa sana afu hata siongei kiivo plus yani sina mbwembwe kama za nyuma ya keyboard kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaaaa nimeachaaaaa mie.
 
Mi nakutaman
Hayaaaaa kumekuchaaaaaa, mwingine huyu hapa. C mnaona wenyeweeee niki msaulaaa je??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu nishawishi yaan fanya jambo nijue unanitaman kweli, sasa wee kunitamani kavu kavu hyo vepeeeee.

Changamka weyeeeeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mselfike sasa
Anzaa wee, ukiambatanishaa na vochaaaa.

Ko kunipelekaaa Golden Tulip na kuniacha palee hotelin, sijapendaaa kwa kweli. Ulitaka nife njaa bill ikikataaaa?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],haya sasa unipage vocha Mr akee na cocaa.

Jf ya moto, haiboi haichoshi. Uwiiiiih
 
😁😁😁😁🤣🤣

Ukija na mbwembwe zako unapokelewaaa vizuriiiiii unatulizwaaaa kwanzaaa tulia wewweee😁😁😁😎🤣🤣🤣🤣 jf 🙌🙌🙌🙌😁😁🤭🤭
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wao huwa wana papalika na profile, picha mdoll bas full kutongozaaa, mie ndo nawa saulaaaa huko huko.
Hahah unawakomesha aisee
Siwezi danganya kivile ,
na humu watu ndo wa hivyo avatar zinawadatisha
 
Nikarare sasa lol nane kasoro hii😴😴😴😴😴😴😴 it Kesho nayo ni siku 😴😴😴😴😴😴😴😴😴
 
Back
Top Bottom