Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nlimkatalia genius kunifanyia assignment,

Alisema "shida ya kuwa na mtu mjuaji daah sasa nifanyeje ujue nakupendaa" nlicheka km chiziiiiii
awhh penzi linanukia
Jamaa anakupenda , ushindwe wewe tu .
hahah ungemruhusu , uwe unadeka kwake , uenjoy ufinalist dear 😍😍
 
Sasa kuna jamaa huyo had leo huwa nataman nimpatee nimuombe msamahaaa, altoka mwanza kuja Dar, nlichomfanyia uwiiii.

Ntakufa nimechoka sanaaaa. Yaan nna dhambi jina langu likisomwa ni motoni 1 kwa 1 bila mahojiano.
Kwanza ukutwe halitasomwa
Ukifika mara paap shetani anakuita

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
awhh penzi linanukia
Jamaa anakupenda , ushindwe wewe tu .
hahah ungemruhusu , uwe unadeka kwake , uenjoy ufinalist dear
sitaki dharau za reja reja mie, ajikutee amenipataaa sana, apambane na hali yakee, hata tuki stop asipate cha kunisemeaa.
 
Sasa kuna jamaa huyo had leo huwa nataman nimpatee nimuombe msamahaaa, altoka mwanza kuja Dar, nlichomfanyia uwiiii.

Ntakufa nimechoka sanaaaa. Yaan nna dhambi jina langu likisomwa ni motoni 1 kwa 1 bila mahojiano.
Alivo mpole vile shoss wewe🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!😜😜😜😎😎😎😎😎
 
sitaki dharau za reja reja mie, ajikutee amenipataaa sana, apambane na hali yakee, hata tuki stop asipate cha kunisemeaa.
hahaaha you're playing hard to get ehh?
ipo siku utamuachia tu assignment hizo 😂😂, hapana chezea mapenzi .

Raha ya mapenzi kudekezwa , ujihisi dunia yote upo peke ako
 
Back
Top Bottom