Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi advance hapo hawapo wa science? Nlijisemeaa nikiwa mwalimu nta deal na advance tyuuh. Na ningekua siwafatilii couz wanajitambua.
Wapo shoss!! Uwii ni wakorofii balaaa AfunAdvance boys tupu ni wana fujoo nyiee uwiii!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
kha ulimpiga na kitu kizito .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati nipo 1St na 2nd yr, niliwatapeli sana watu mtandaoni.

Hata JF enyewee wako wawili, mwanzoni walinipapatikia khaaah nkawa saulaa m1 alintumiaga 80k ya kutumia, afu baadae ananambia tukutane ubungo plazaaa nkamchanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwingine alintumiaga 60k, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu ndo anakujaga had PM kuniambia kuhusu hela, huwa namuambiaga utangazie umma wa jf mie tapeli,. Anajibu "wee chizi ulivyo huna akili utanidhalilisha bureee"

Na sibadili acc wala jina,. Afu sijariiii yaaan. Nakutana nao kwenye nyuzi zingnee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alivo mpole vile shoss wewe[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!![emoji12][emoji12][emoji12][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yupiiiiiii?
 
Yeah
quality photos 👌
Kama sio mpenzi wa ios ukiwa na google pixel 7 pro pia utaulizwa umetumia simu/camera gani, ipo vizuri
Pixel-7-Pro-shooting-800x534.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati nipo 1St na 2nd yr, niliwatapeli sana watu mtandaoni.

Hata JF enyewee wako wawili, mwanzoni walinipapatikia khaaah nkawa saulaa m1 alintumiaga 80k ya kutumia, afu baadae ananambia tukutane ubungo plazaaa nkamchanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwingine alintumiaga 60k, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu ndo anakujaga had PM kuniambia kuhusu hela, huwa namuambiaga utangazie umma wa jf mie tapeli,. Anajibu "wee chizi ulivyo huna akili utanidhalilisha bureee"

Na sibadili acc wala jina,. Afu sijariiii yaaan. Nakutana nao kwenye nyuzi zingnee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kha upo vizuri aisee 😂😂
watu hao wanatoa pesa zao kiulaini
Uzuri hauogopi so mtu hawezi kukutisha bila kusahau wewe ni jeshi la mtu mmoja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas o lev wasichanaa wanagongwa mande tyuuh na hao wakaka.
Ni kesi kila siku nakwambia!! Huko kwenye mapori sasa unakuta mkaka mmoja anawala mabinti wawili kwa pori huko ni zamu tu ya kuangalia walimu 🙌🙌🙌🙌!!
 
Kha upo vizuri aisee [emoji23][emoji23]
watu hao wanatoa pesa zao kiulaini
Uzuri hauogopi so mtu hawezi kukutisha bila kusahau wewe ni jeshi la mtu mmoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mitandaoni watu wanatapeliwa sana, ukiwa na customer care nzuri na mpangilio waa mtego!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una wasaulaaa haswaaa.
 
Ni kesi kila siku nakwambia!! Huko kwenye mapori sasa unakuta mkaka mmoja anawala mabinti wawili kwa pori huko ni zamu tu ya kuangalia walimu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee tupu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mitandaoni watu wanatapeliwa sana, ukiwa na customer care nzuri na mpangilio waa mtego!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una wasaulaaa haswaaa.
Hahaha eti customer care nzuri 😂😂😂mweh na unawapata hao .
wakikutafuta unawaambiaje sasa ?

nimewaona huruma hao wakaka dah .
 
Back
Top Bottom