Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii blaza blaza hii kuna kitu nanyimwa hapa muda si mrefu😜
Vocha si najua pa kuweka ama?
Nakunyimaje na wewe wa kwetu kabisa njia moja😅

Ila unitumie bando la mwezi maana siku hizi sijui umetekwa na pisi gani huchelewi kupotea hewani.
So hata ukipotea mwezi mzima me nadunda tu mtandaoni
 
Kumbe na Golden Tulip tumefika?[emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi nilidhani tuliishia Johari Rotana

Lakini si nilikuachia mshiko wa kutosha bill isingekata bana[emoji1787]

Vocha pa kuweka napajuaa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Gilden tulip ma daddie tulikuwepooo tena kule VVIP, uwiiiiiiih.

Hela unaambiwaa uliniachia kidogo, sasa sijui wenzangu huwa unawapaga nyingi. Mie wa kuomba msaada kwa manager afanye mpango nirudi Dar, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimekomaa kudate na kibosile weyeeeee huhuhuh.

Vochaaaa unipe ya kueleweka, mie c ndo Main chick na umma wote unajua, ko unipe stahiki angu hapooo.

Next unipelekeeee [emoji1158]babeeee [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Woooooooooowwwwwwwww!!!!! Mama maleziiiiii ur welcomeee.

Tumekumic had tunaumwaaaa, hebu tuoneshe kid alokua anakuweka buzzy, tujiandae na baby kits kuja kumtunzaaaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Na skuna zako hutaaki tabuuu, km kawaidaaa. [emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178]
 
Back
Top Bottom