Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaniua mbavuu coca mpi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Ulijuajee Hapo leo nimekaa zangu Dining nasimamia pepa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Nilpiga nimekaa ya kusimama sijapiga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan hilo tenge km mpishi wallah
Khaaaaah
 
Mmh Jana tu nimetoka kuambiwa nina kichwa kipana .
kichwa chako kizuri kidogo dogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilitamani kukuambia kitu, ila utanichekaaaaa.
 
Haapana its okay hata camera za simu (iphones, samsung, huawei etc)zina software ambayo ni built in inaweka filter kwa kiasi fulani, kutumia filter sio ku cheat, its okay
Thank you very much
natamani wabongo wengi tungekuwa na mtazamo huo .
Sasa iPhone wanaikubali na sio Snapchat .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwiii mbona sio vitu vyangu dyadyaaaa


Ila hapo at least no 4&9,, the rest akinitongo.za saa 1 kamili asubuhi, saa 1 na dk 5 ashakula block 🥹
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyiee nacheka km chiziiiii. Jaman mbna mie naposema niweke miguu nikae naonekanà sio penyeweee.

Nyie hapo mnataka hawa wa kuvaa official? Mie casual ndo nawa elewaaa, uwiiiih
 
Usiku mwema wapendwa!! Tinsley dear ngoja ni focus kwenye marking hapaa nina mzigo wa papers hadi sio poa!!
Enjoy your night guys![emoji8][emoji3577]
Paper la phys lete nisahihishe na Chem. Afu vibokoo ntawacharaza mwenyewee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji95]
IMG_20221129_005101_916.jpg


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kha roho inakuwa haikusuti ?
Sasa kuna jamaa huyo had leo huwa nataman nimpatee nimuombe msamahaaa, altoka mwanza kuja Dar, nlichomfanyia uwiiii.

Ntakufa nimechoka sanaaaa. Yaan nna dhambi jina langu likisomwa ni motoni 1 kwa 1 bila mahojiano. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema tu dear
sitocheka , trust me [emoji7][emoji7]
Nlimkatalia genius kunifanyia assignment, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Alisema "shida ya kuwa na mtu mjuaji daah sasa nifanyeje ujue nakupendaa" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nlicheka km chiziiiiii
 
Sasa kuna jamaa huyo had leo huwa nataman nimpatee nimuombe msamahaaa, altoka mwanza kuja Dar, nlichomfanyia uwiiii.

Ntakufa nimechoka sanaaaa. Yaan nna dhambi jina langu likisomwa ni motoni 1 kwa 1 bila mahojiano. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha na unajua jinsi ya kuwateka
masikini hadi nimemuonea huruma
kungwi Kama kungwi upo vizuri , watu wanadata wenyewe .
 
Back
Top Bottom