Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usiku mwema wapendwa!! Tinsley dear ngoja ni focus kwenye marking hapaa nina mzigo wa papers hadi sio poa!!
Enjoy your night guys!😘✌️
 
Mwanaume kuwa na kipato ni biig plus kum win mwanamke kwa sababu wanawake wana prefer wanaume wapo stable financially, that’s not to say the reverse isn’t true kuna wanawake wanafanya kazi na wanaume wanaangalia watoto lakini ni mara chache, ndio maana wengine wana hide financial status zao mwanamke akija kufahamu siri tayari wapo deeper kwenye mahusiano, kwa hio at first mwanamke alifahamu kuna pesa...

Haya siku njema...
Pilot mie sijakaa, ila sio wanawaake wote wako hivyo, ila wengi wao.

Nawee siku njema.
 
Back
Top Bottom