Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee unaongeleaa wanawake na hayo madai yako kwan wee ni mwanamke? Utajitetea eti kwa sababu una date na hao wanawake, je wee mitazamo na misimamo yao unaijua? Wanawake woteee??? Hata hao ulio date nao ndo walikuambia kuwa wanawake wote wako hivyo?
Mwanaume kuwa na kipato ni biig plus kum win mwanamke kwa sababu wanawake wana prefer wanaume wapo stable financially, that’s not to say the reverse isn’t true kuna wanawake wanafanya kazi na wanaume wanaangalia watoto lakini ni mara chache, ndio maana wengine wana hide financial status zao mwanamke akija kufahamu siri tayari wapo deeper kwenye mahusiano, kwa hio at first mwanamke alifahamu kuna pesa...

Haya siku njema...
 
mie mtandaoni siko serious sanaaaa.

Nlishawahi ku fun na mtu, mtandaoni 1 yr bila kuonana, na pesa zake nilifaidi, mwsho waa siku nkamchanaaa. Tukaishia hapooi

ila mie ntarogwaaa.
hahah uliwezaje kula hela ya watu hivi hivi .
unayaweza ndo maana nasema hivyo
 
shougaaaaa simama nionee kwani, mbna km mpishi wa shuleee.
😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 unaniua mbavuu coca mpi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Ulijuajee Hapo leo nimekaa zangu Dining nasimamia pepa 😁😁😁😂😂😂🤣🤣🤣. Nilpiga nimekaa ya kusimama sijapiga
 
Back
Top Bottom