Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Safi sana babu Msalimie sana bibi etu! Hakika yupo vyedi sana Naona babu unag'aa tu ! Mwambie likizo wajukuu tunakuja kupalilia!!
Nitafikisha salamu zako Mjukuu 🤪

Mkija Wakati wa Likizo mtatukuta shambani, Mimi na Bibi yenu tumehamia huku tangu mwezi uliopita kuziwahi mvua za masika 🙊
 
😅😅😅😅 Kuna siku tulikuwa field milimani, na wanataka tukague kila point.. ohooo miguuu ikaanza tetema kama mayele, nikawaambi mwisho wangu hapa sipandi.. na hamnipeleki popote mbona waliishia nilipo ishia, maana mwenye majibu nilikuwa mie ya sehemu wanazo kagua
Kwa style hiyo pumzi unayo kweli mdogo wangu😁😁
 
Selfika na #voda#
 

Attachments

  • 20221128_173618.jpg
    20221128_173618.jpg
    885.7 KB · Views: 10
Back
Top Bottom