Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Babu la mchongoView attachment 2429659
Sijui ni kwanini inaitwa Blue Monday but the hangover is real 🥱
Hello Monday![]()

Babu la mchongoView attachment 2429659
Sijui ni kwanini inaitwa Blue Monday but the hangover is real 🥱
Hello Monday![]()

Hebu hiyo SAA niione vizuri. LolView attachment 2429659
Sijui ni kwanini inaitwa Blue Monday but the hangover is real 🥱
Hello Monday![]()
Leo nina bahati ya mtende😍Kipaimara’s day
Leo nina bahati ya mtende
Ila umekata sana nkamu
Asante nkamu😍
Sina jambo Babu yako 🤪Babu la mchongo![]()
Usijali Mjukuu, soon nakutumia uoneHebu hiyo SAA niione vizuri. Lol
Hiyo ni revolver model gani?
Helloowww granpa!! Umependeza babuuu😍😍😍😍!!View attachment 2429659
Sijui ni kwanini inaitwa Blue Monday but the hangover is real 🥱
Hello Monday 🥂
Miss you sana Ngosha! Kimya sana humu!!Babu la mchongo![]()
Nakaziaaaaaaaaaaaaaa... Shimba ya Buyenze umemisika sana mkuu!!
Umefanya nirudi kujiangalia mara mbili mbili, nahisi kipo cha kufutia Simu 😂🤗Helloowww granpa!! Umependeza babuuu😍😍😍😍!!
Babuu Kumbe una kitambi lol!!
Alipiga trauza moja jeans matraaatraaaaa sanaaaa...Mihips ni ilichomozaaaaaa Kiuno sasa awwwwwwwwwww!!!😍😍😍😍 kwako mrs wige Saint AnneOyaa
Ulivaaje kwani![]()
Asante nkamu
Nimekumiss pia
Shimba ya Buyenze namimi sijamuona humu siku kadhaa ila naamini yumo
Mkuu Shimba ya Buyenze popote ulipo mkuu wahi huku nkamu wangu amekumiss anakutafuta
Safi sana babu Msalimie sana bibi etu! Hakika yupo vyedi sana Naona babu unag'aa tu ! Mwambie likizo wajukuu tunakuja kupalilia!!Umefanya nirudi kujiangalia mara mbili mbili, nahisi kipo cha kufutia Simu 😂🤗
Thanks Mjukuu, kazi ya Bibi yako hiyo 🤪
View attachment 2429659
Sijui ni kwanini inaitwa Blue Monday but the hangover is real 🥱
Hello Monday![]()

