Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Wanakujua lakini hao vijana au unataka kuwapiga na kitu kizito, wanajua we ni shoga?Depal dyadyaaaa ake,
Lenie didii akeeeee
sophy27 shangaziiii akeee
Antonnia shoga uyoga km sio mbogaa akee
Tinsley dear ake.
Leo nliingia app 1 hivi, maana nliisusaga kitambooo na nkasahau password nkaacha, sasa leo niliikomalia nkawaza na kuwazua password zote nilizohisi hatimae nkapatia bhana.
Nlivo log in, uwiiiiiiiiih nmekutaa text nyingiiii mweeeeeeeeeh sasa ktk kuangalia nianze na nan kumjibu, nkaamua kuchaguaa handsomes 10 (kwa mtazamo wangu) nkawapata hawa hapa kila mtu na no yake kwa u handsome. Lol
Sasa nyie mniambie nianze na yupi,
Nimeamua tyuuuh kuwaomba ushauri!!! WeraaaaaaaahView attachment 2430126View attachment 2430127View attachment 2430128View attachment 2430129View attachment 2430130View attachment 2430131View attachment 2430132View attachment 2430133View attachment 2430135View attachment 2430136
