Hii picha kuna mtu katoa like sahivi nikashangaa niliipost lini humu, tulikuwa kimbwetani. Huuyu dada nimekutana nae sasa hiviWakijadili kitu na sielewi nafanya hiviView attachment 2032555
Ngoja nijichange ntakutumia kahela hata ka kula njiani ila uwasaidie tu hawa dada zangu wa mchongo 😁😂😂 December nafunga safari niwapeleke kwa Mwamposa
Jaman si tushakubaliana nyie tunawatoa bureHahaha....!!
Kamamaa jamani..!!
Waowaji wamesema tuvumilie kidogo wajichange pesa ya mahari..!!
Tunakuozesha bure my wanguSa itakuwaje 😂😂
Kaziii??? Kazi which?? Where???😅😅😅 akiona avatar hawezi amini kama ni mie, au ule uandishi pia hawezi amini kama ni mimi.. nikimaliza tumia jf huwa nafuta kila kitu.. Siku labda nijisahahu ku log out na kufuta hapo ndio itabidi niandae utetezi, ingawa nishapinga namuambia hiyo account ya kazi 🤣🤣🤣
DuhMambo vipi?
Hope u mzima.
Wazee wa kinyantuzuKijana huna adabu kwa Wazee wako, tumeamua kutoipokea posa yako kwa Saint Anne hadi uje kutuomba radhi
![]()
Tumempa mshenga wake amrudishie, Kijana hana adabu kwa Wazee wake.
Bora tupokee posa ya Yule Kijana uliyemleta kumtambulisha Mwezi Mei![]()

Itabidi National Anthem asitahafu azikwe 😅😅 kuepusha ajariKaziii??? Kazi which?? Where???
Kazi ya kutoa fantasy ambazo hata yeye hazijui
Nyieeee😆😆😆
Kanuni ni ile ile tu, iwe kkkt, roman, ufufuo nanuzima mwendo ni ule uleMakanisa gani hayo
Haya ya kwa mwamposa au ni mengine?
Sema haki ya naniNilikuwa napenda makacha
Uwiii
God si Good now naweza
Hapa sijavaa kitu

Kweli God is Good shanga je umepunguza au umeacha kabisa![]()

😂😂😂😂YesuNgoja nijichange ntakutumia kahela hata ka kula njiani ila uwasaidie tu hawa dada zangu wa mchongo 😁
Ma hazibandi matilio tupo hapa hamututaki, mtakula jeuri yenuNgoja nijichange ntakutumia kahela hata ka kula njiani ila uwasaidie tu hawa dada zangu wa mchongo 😁
Usiniambie
