National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
Kama wewe na mzabzab ndio balaa
Mmetia fora kwnye uhazibandi matirioooo
Kama wewe na mzabzab ndio balaa
Mmetia fora kwnye uhazibandi matirioooo
Inaumaaaa sanaaa 😭😭😭😭😭Daaah ahsante!!! Sana mambo haya basi tu
Japo sijaelewa,,, ila pole sana na maumivu.. maisha haya haya one day yes🥲🥲🥲🥲🎵🎶Baby corner corner
wakawaka when you enter Omalichaa Baby corner corner🔊
🎼Would you gimme sugar wahalaa halaaa🎼🎶
SOWETO-- South west town
Just singing my furendi !!Japo sijaelewa,,, ila pole sana na maumivu.. maisha haya haya one day yes🥲🥲🥲🥲
Ni motooo sanaSOWETO-- South west town
Hiyo nyimbo inahusu maumuvu ya mapenzi hivi....? 🥲🥲🥱🥱😂Just singing my furendi !!
🤜🤜🤜🤜🤜
Weee kumbe!! Mie naipendaga tu tunes zake!!Hiyo nyimbo inahusu maumuvu ya mapenzi hivi....? 🥲🥲🥱🥱😂
😂😂😂😂 Yaan ulikua unasikiliza tuu afu hujui......Weee kumbe!! Mie naipendaga tu tunes zake!!
Mihogo na kuku 😆
Nakuupenda naupenda mnooo.. ila kusikiliza audio!!😂😂😂😂 Yaan ulikua unasikiliza tuu afu hujui......
Ndo mana nikakupa polee inaelekea una dukuduku kwa moyoNakuupenda naupenda mnooo.. ila kusikiliza audio!!
We endelea kutukosea Wazee wako, hata yule Mjukuu wangu wa Daslam hutampata 🤪Wazee wa kinyantuzu
Wanataka demu mweupe
Sasa huyo chausiku wako
Nitakosa radhi za wazee
Hapana sina hata! Kwani unahusu nini Unajua venye nipogo kilaza eeh!! Hebu nieleweshe kwanza 🤔Ndo mana nikakupa polee inaelekea una dukuduku kwa moyo
Kiufupi ni hivi ADUI YAKO RAFIKI YANGU NA RAFIKI YANGU NI RAFIKI YANGU TUU....ADUI YAKO RAFIKI YANGU KUWA MAKINI UNACHOSEMA