Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
Helloo✋✋✋✋
Helloo✋✋✋✋
NimewezaaaaLenie siku nikiacha kabisa kabisa unifanyie sherehe...View attachment 2032912
Mganga wa kienyeji nini, mbona umevaa makolokolo mengi sana kama hirizi 🙄🙄Lenie siku nikiacha kabisa kabisa unifanyie sherehe...View attachment 2032912
Nakupenda, nataka nikuoe 😊Helloo
😀😀 Bi mkubwa inaonekana ana baba mwingine usie mjuaBi mkubwa eeh mfungulie moyo wako basi National Anthem apate walau japo nafasi ya kufurahia maisha 🤗
Nimemaliza zaidi ya miezi 6Weeee umecha kwa muda gani hadi saivi, week au?
😂😂😂😂2022🤔2019✅ tena hii ulikuwa mpole sana
2020✅
2021✅
2022 ❌
2022 si ukaqnza kujizima data😂😂😂😂2022🤔
🤣🤣🤣Embu niwachee
NDIYONakupenda, nataka nikuoe 😊
😂😂😂😂😂😂Nakupenda, nataka nikuoe 😊
Nilikuwa napenda makachaMganga wa kienyeji nini, mbona umevaa makolokolo mengi sana kama hirizi 🙄🙄
Weee ile siku na blututh adi mkavamiwa na wavamizi ulikua unakunywa nini?Nimemaliza zaidi ya miezi 6
Kwa huu mwaka nimekunywa saint anna mara1
Tena wakati mwaka uko mwanzo mwnzo sijui
Nikubalie basi ☺️☺️😂😂😂😂😂😂
Kweli God is Good shanga je umepunguza au umeacha kabisa 😊😊Nilikuwa napenda makacha
Uwiii
God si Good now naweza
Hapa sijavaa kitu
🤣🤣🤣🤣..Kuna mambo nikiyakumbuka hua nacheka Sana..mapito haya ..tuyaache tu yalivyo2022 si ukaqnza kujizima data
Wakati unajua kabisa mambo ya 2020
Weeeee ile siku nilikunywa ginger ale.. ni soda dada angu 😂😂😂😂😂😂Weee ile siku na blututh adi mkavamiwa na wavamizi ulikua unakunywa nini?
Nakufikiria jamani 😋Nikubalie basi ☺️☺️
Shanga? 🤣🤣Kweli God is Good shanga je umepunguza au umeacha kabisa 😊😊
Mambo ni mengi duniani 😂😂😂🤣🤣🤣🤣..Kuna mambo nikiyakumbuka hua nacheka Sana..mapito haya ..tuyaache tu yalivyo