Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Marhaba kijana wangu...diet nawaachia vijanaBi mkubwa wangu kipenzi shkamoo! Mbona mapema sana hivyoo hutaki kufanya diet? 😁
Marhaba kijana wangu...diet nawaachia vijanaBi mkubwa wangu kipenzi shkamoo! Mbona mapema sana hivyoo hutaki kufanya diet? 😁
😂😂😂😂😂Kijana wangu hapa imetoka hiyo..hadi jioniNimemwambia afanye diet ila naona hazingatii saa 5 hii anakula chipsi hpo bdo sa 7 aje kula ugali na samaki 😁
Dingi kijana

😂 Siyo kweli bi mdashi 😁 najua lazima saa saba ushushie ka ugali kidogo. Ndiyo maana wowowo linataka kupasua nguo 🤣😂😂😂😂😂Kijana wangu hapa imetoka hiyo..hadi jioni
😂😂😂😂 Kijana..unanikariri eeh..😂 Siyo kweli bi mdashi 😁 najua lazima saa saba ushushie ka ugali kidogo. Ndiyo maana wowowo linataka kupasua nguo 🤣
Alhamdulillah namshukuru Mungu hofu ilikuwa kwako ila baada ya kuona msosi mezani nishajua u bukheri wa afya. 😁 Ndio umegoma kurudisha Yna2 🥺😂😂😂😂 Kijana..unanikariri eeh..
mzima lakini?
Labda mie ndio chibaba, si unajua humu id 😅😅😅 maana na mie namuonaga mwenzangu JF ila sijawai muuliza ID yake, mie kila akija kunicheki nikiwa naperuzi JF anakuta sija log in naperuzi kama guest user 🤣🤣 salama yangu najua hapiti chit chat wala photo wala celebrity.. Ni mkaksi sana 😁😁 yeye siasa na habari na hoja basiAahh kumbe una playlist za kibabe hivi😁
Za chibaba kabisaaaa vile vitu anavyopenda
Leta zingine bas kabla hujalala jobless mwenzangu😁😁
Vichips vinaonekana vitamu 😊😊😂😂😂Nashiba Sana tu na kuvimbiwa kunakuja😜
Bi mkubwa wako anazeeka vibaya 😅😅Nimemwambia afanye diet ila naona hazingatii saa 5 hii anakula chipsi hpo bdo sa 7 aje kula ugali na samaki 😁
Nimeshamwambia namimi ila anasema vijana wa kileo tunawivu 🤣Bi mkubwa wako anazeeka vibaya 😅😅
Ibaidi uwe mda wa msosi unampitia bi mkubwaa, unaenda kula nae 😀😀Nimeshamwambia namimi ila anasema vijana wa kileo tunawivu 🤣
Nikitembea nae road na ule msambwanda wake kila mtu ataanza niangalia ndio maana naogopa 😂Ibaidi uwe mda wa msosi unampitia bi mkubwaa, unaenda kula nae 😀😀
😅😅😅 Unakwepa vita zisizo na ulazimaNikitembea nae road na ule msambwanda wake kila mtu ataanza niangalia ndio maana naogopa 😂
Asante sana shemeji wige😘😘😘
Asante sana mkuu kwako pia Mungu akuweke zaidMkuu Lovelovie kheri ya siku ya mfanano wa siku yako ya kuzaliwa.
Enjoy for the rememberance ila wakumbuke waliokuleta kama wapo .
Sent using Jamii Forums mobile app