Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Labda mie ndio chibaba, si unajua humu id 😅😅😅 maana na mie namuonaga mwenzangu JF ila sijawai muuliza ID yake, mie kila akija kunicheki nikiwa naperuzi JF anakuta sija log in naperuzi kama guest user 🤣🤣 salama yangu najua hapiti chit chat wala photo wala celebrity.. Ni mkaksi sana 😁😁 yeye siasa na habari na hoja basi
Sio mm bana😁😁😁
Sasa mwenzio siasa wewe huku unafanyaje kama sio tabia mbaya tu hiz😆😆
 
Kazi nafanya yani nafanya kazi mno.
Unadhani kwa nn siwi mnene kwa sabb kazi zinanizidia😂😂😂
Nkiamka asubui naanzia shamba kwanza, natoka sa kumi naenda kutafuta kuni
Sasa wife material si ndo wewe sasa
Halafu kuna wenzangu na mie Depal na Carleen wamelegea hao
Tulkua tumepanga mwaka huu tuwacheze ila mpaka saiv bila bila😒
Muoreweeeeeeeeee jaman Carleen na Depal
 
Sio mm bana😁😁😁
Sasa mwenzio siasa wewe huku unafanyaje kama sio tabia mbaya tu hiz😆😆
Aaah! Siasa mie za nini.. Kuchoshana akili tu, huku maisha ya mtanzani ili yasonge hayana utaifa tena bali ni jitihada za mtu binafsi.. Kuna siku nimekaa napiga nae story ananitajia member wa jf ambao wamewaka moto, nikasema hata siawajui hao 😅😅😅😅 maana hata account sina
 
Back
Top Bottom