Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁 Pilot Mbavu zangu hukuuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nacheka kama mwehuuuuuu🤣🤣🤣🤣!

Shangaaa nawewe ! wewe Saint Anne ndie wa kumbadilisha mchumba adamshi unavotaka wewe sasa!!
Ukojee
( in Wiges voice)
Hebu mshauri basi huyu mtoto, bahati haiji mara mbili..
 
Huyo hajui formula ya kudate na mume wa mtu huyooo!!!
Hakuna shobo za text wala call mpaka yeye akuanzeee! Wivu wa kijinga hakunaaaa.. Just mind your own fcking business kitulizeeee kama maji ya mtungiišŸš¶šŸ¼ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ¼ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ¼ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ¼ā€ā™€ļø šŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚!!

Eeeeh Si ulipenda bogaa!!😁😁😃
hahaha hapana chezea formula
ukiambiwa utulie inabidi mpaka akutafute .

Mie nina wivu ,siwezi kabisa mambo hayo
Ila inabidi na wewe uwe na baby wako pembeni akya nani inauma
 
Back
Top Bottom