Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Niko good pia kipenzi...!Weekend ipo poa vipi wewe ?
Niko good pia kipenzi...!Weekend ipo poa vipi wewe ?
Haina shida, ngoja nipumzike kwanza..Ila wewe huwa unaenjoy nguvu zangu ninazotumia kikudai au sio😂
Kwanza ngoja nianze upya
Mchumba next year narudiMchumbaaaaaaa mic u.
Afu uwage unakuja kule venue, kisa umemaliza ndo hutaki kutembelea?

Nipe kwanza picha au stori kabla hujaenda kupumzikaHaina shida, ngoja nipumzike kwanza..
Fumanizi la mama mwenye nyumba nipo hapo napata story za jamiiforumsNipe kwanza picha au stori kabla hujaenda kupumzika
kwa hio Wigelekelo anampenda Saint AnnePoker ndio kivurugee!! Anne aliona pochi ya poker imetuna jana akawehukaaaa na kujifanya anamlavu mingi mingi Poka ilimradi tu amuunize Ngosha wawatu
Nataka ya kuhusu ile ndege.Fumanizi la mama mwenye nyumba nipo hapo napata story za jamiiforums
Aanze tu!kwa hio Wigelekelo anampenda Saint Anne
Mi sijasema hilo pilot 😎 nimetoa samare ya swali lako tyu 😂😁😁😂😂😂kwa hio Wigelekelo anampenda Saint Anne
Niliona njia pekee ya kujinusuru na kelele za Poker ni kumgeuzia kibao🤣🤣Poker ndio kivurugee!! Anne aliona pochi ya poker imetuna jana akawehukaaaa na kujifanya anamlavu mingi mingi Poka kufikia hatua ya kutaka hadi kumbaka ilimradi tu amuunize Ngosha wawatu
Hivi we kwa nini unamuumiza sana jamaa? kwa nini unamtesa na kumuonea sana Wigelekelo kijana mtulivi hana makuu na mambo mengi, hata kama anavaa shati la kitenge si unamuambia abadili?Aanze tu!
😂😂😂😂😂😂Mi sijasema hilo pilot nisije chambwaaa😁😐 nimetoa samare ya swali lako tyu 😂😁😁😂😂😂
Asicheze na nguvu ya papaaaaMasikini Kijana wawatu wanawake watampunyuaa vibayaaaa🤣🤣🤣🤣🤣!!
Nimekufa nimeoza kwako Pilot🤣🤣Hivi we kwa nini unamuumiza sana jamaa? kwa nini unamtesa na kumuonea sana Wigelekelo kijana mtulivi hana makuu na mambo mengi, hata kama anavaa shati la kitenge si unamuambia abadili?
Yote hii ni umuumize Wigelekelo , National Anthem hebu muulize huyu mtoto anamaanisha?Nimekufa nimeoza kwako Pilot🤣🤣
Say Yes Please
🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁 Pilot Mbavu zangu hukuuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nacheka kama mwehuuuuuu🤣🤣🤣🤣!Hivi we kwa nini unamuumiza sana jamaa? kwa nini unamtesa na kumuonea sana Wigelekelo kijana mtulivi hana makuu na mambo mengi, hata kama anavaa shati la kitenge si unamuambia abadili?
screenshot mkuu hiyoPole sana mkuu, mmekosana nini?
Nataka Pilot anibadilishe toka kwenye Vitenge🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁 Pilot Mbavu zangu hukuuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nacheka kama mwehuuuuuu🤣🤣🤣🤣!
Shangaaa nawewe ! wewe Saint Anne ndie wa kumbadilisha mchumba adamshi unavotaka wewe sasa!!
Ukojee
( in Wiges voice)
Tuliaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂
Halafu tumemiss kapo yenu na Baba miongozo.
Irudishe bwana, kuliko kushadadia sisi tuanzishe kapo za kishamba😂😂😂