Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haaland jana wamemnyoaa [emoji23]
Kuna mtu alintumia text

"yaan wee mbwaa nataman city na simba zifanyage vibaya mda wote ili ukose furaha na uwe mnyonge" kisa kumkataa

Anasema jana kafurahi mnooo, wallah City na Simba zitakuja kuniua, japo simba jana kashinda sijafurahi, nataka tuwage kilelen kule juu kwa msimamo.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Itabidi unipelekeee, huu mwaka nataka nizururee Dar, nikitoka mazima mwakan nijue kuwa kuna sehem za Jiji nliwahi kanyaga.
Utoke mazima vepeee, ubaki hapa hapa jijini upige hela na ujenge hapa
 
Kuna mtu alintumia text

"yaan wee mbwaa nataman city na simba zifanyage vibaya mda wote ili ukose furaha na uwe mnyonge" kisa kumkataa

Anasema jana kafurahi mnooo, wallah City na Simba zitakuja kuniua, japo simba jana kashinda sijafurahi, nataka tuwage kilelen kule juu kwa msimamo.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jana ni unbelievable kwa City ..

Me siku hizi mahaba ndi ndii ndii sina, tufunge heri… tufungwe hewalaaa
 
Jana ni unbelievable kwa City ..

Me siku hizi mahaba ndi ndii ndii sina, tufunge heri… tufungwe hewalaaa
Mwenzio kila nikijaribu nashindwa, tena World cup inakuja soon, chama language [emoji629] naona kabisa haitoboi hata robo, maumivu tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dar bila mishe sitatoboaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ntaishia kuwa omba omba barabarani, na nlivo na nuksi hata kuangaliwa sitaangaliwa.
Hahahaa yaani wewe una maneno

Ukikaribia kumaliza unaanza kuomba intern, amini utafanikiwa
Unashangaa bahati inakua upande wako unapata ajira ya kudumu hapa
 
Dar bila mishe sitatoboaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ntaishia kuwa omba omba barabarani, na nlivo na nuksi hata kuangaliwa sitaangaliwa.
Hizo nuksi vp na Dar kuna maji ya bahari, inasemekana yanaondoa Nuksi…
 
View attachment 2415468
Lakini ueleko wake ni ziwani which means alitaka kutulia kutoka SE kueleka NW, hio runway ina 31 na 13, airport zote lazima ukute namba ya hizo ends mbili za runway zipishane kwa 18, nipe hela kwanza tuendelee...
Nina aftatu hapa nitakupa😂
Haya tuendelee Captain wetu🤗..Hizi stori huwa zinanivutia.

Halafu hivi kwanini wanapenda kucheza na maisha ya watu kwa kujenga viwanja pembezoni Kwa Maji??huwa naangalia clip nyingi huko mtandaoni,naona viwanja vipo Karibu na maji.
 
Attachments

  • JamiiForums2002144580.jpeg
    JamiiForums2002144580.jpeg
    24.1 KB · Views: 6
Nikupe story? unataka story? ngoja nikupe nilivyokula tunda kimasihara..
Chizi wewe 😂😂
Kwanza ulininyima picha .
Basi nipe tu hizi stori .

Halafu hivi kwanini wanapenda kucheza na maisha ya watu kwa kujenga viwanja pembezoni Kwa Maji??huwa naangalia clip nyingi huko mtandaoni,naona viwanja vipo Karibu na maji.
 
Chizi wewe 😂😂
Kwanza ulininyima picha .
Basi nipe tu hizi stori .

Halafu hivi kwanini wanapenda kucheza na maisha ya watu kwa kujenga viwanja pembezoni Kwa Maji??huwa naangalia clip nyingi huko mtandaoni,naona viwanja vipo Karibu na maji.
Imagine kule mbele kusingekuwa na maji kungekuwa na majengo, unahisi kuna hata mmoja angepona, faida moja wapo ya kuwa karibu na maji ni uwezo wa ndege kupaa katika low altitude, kama kuna engine failure ndege inaweza kwenda umbali mrefu kwa low altitude pasipo kukutana na majengo marefu n.k, there are a lot of reasons lakini ni faida zaidi...
 
Jana ni unbelievable kwa City ..

Me siku hizi mahaba ndi ndii ndii sina, tufunge heri… tufungwe hewalaaa
Unakuwaje na mahaba na timu lishajochokea😂

Kuna jamaa kule kujwaani kwenu huwa ananichekesha hadi nakaribia kuzimia kwa kicheko .
 
Attachments

  • Screenshot_20221029-225606.jpg
    Screenshot_20221029-225606.jpg
    94 KB · Views: 8
Back
Top Bottom