Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,007
- 177,266
Pokaaaaa mmemuumiza Wige wawatuuu jamaneeeNimetema bungo
Pokaaaaa mmemuumiza Wige wawatuuu jamaneeeNimetema bungo
Mmh!!Imagine kule mbele kusingekuwa na maji kungekuwa na majengo, unahisi kuna hata mmoja angepona, faida moja wapo ya kuwa karibu na maji ni uwezo wa ndege kupaa katika low altitude, kama kuna engine failure ndege inaweza kwenda umbali mrefu kwa low altitude pasipo kukutana na majengo marefu n.k, there are a lot of reasons lakini ni faida zaidi...
Mama City 😂😂😂😂wee cc utulie, team yako iko mbioni kushuka daraja.
Kuruka juu ya maji ni safer zaidi kuliko juu ya ardhi, kufa kwa maji ni ndege ikizama bali sio impact inapotua juu ya maji unless iwe ndege imeanguka, kwenye rdhi sio...Mmh!!
Aisee ila maji yanatisha jamani,au ni mimi pekeyangu naogopa🥲
Sasa hapo kama ndio inaondoka, inaenda uelekeo wa maji haki ya nani naweza zimia..Kwa vile abiria haoni mbele.
Mimi kitendo Cha kujikuta tu kwenye maji wakati nilikuwa anganiKuruka juu ya maji ni safer zaidi kuliko juu ya ardhi, kufa kwa maji ni ndege ikizama bali sio impact inapotua juu ya maji unless iwe ndege imeanguka, kwenye rdhi sio...
hicho tu kinatosha kunifanya nikate moto.Kametoka gamboshi halafu kanatafuta dalali mtoto wa mjiniPokaaaaa mmemuumiza Wige wawatuuu jamaneee
Tuma picha basiKametoka gamboshi halafu kanatafuta dalali mtoto wa mjini
Kakome.

Ya Kawige??Tuma picha basi
Kametoka gamboshi halafu kanatafuta dalali mtoto wa mjini
Kakome.
Waarabu wa pembaaaaa ,, Mambo yenu nawaachia wenyewe!! Hebu Nishike jembe nikalime mieeeee😁!Ya Kawige??
Ni tule tushambwa twa kisukuma tubavaaga suruali za satini ya kung'aa na mashati ya Vitenge vya mifuko ya Cement kama ya kwenye nyimbo za Baba yetu the Late Mwansasu Ephraim.
Hahahaa yaani wewe una maneno
Ukikaribia kumaliza unaanza kuomba intern, amini utafanikiwa
Unashangaa bahati inakua upande wako unapata ajira ya kudumu hapa




intern naombaaaa lazima yaan.Hapo kamoyo koteee kapo kwa Wige unajitoa Ufahamu tu!!Ya Kawige??
Ni tule tushambwa twa kisukuma tubavaaga suruali za satini ya kung'aa na mashati ya Vitenge vya mifuko ya Cement kama ya kwenye nyimbo za Baba yetu the Late Mwansasu Ephraim.
Hizo nuksi vp na Dar kuna maji ya bahari, inasemekana yanaondoa Nuksi…







nimecheka mie, hayo maji ya bahari kwangu yatadunda mbna.Sitaki, niacheeeeeeUnakuwaje na mahaba na timu lishajochokea😂
Kuna jamaa kule kujwaani kwenu huwa ananichekesha hadi nakaribia kuzimia kwa kicheko .
Ngoja kaje kunitukana😂😂😂😂😂Waarabu wa pembaaaaa ,, Mambo yenu nawaachia wenyewe!! Hebu Nishike jembe nikalime mieeeee😁!
Laana ya Tuchel itawatafuna😂😂Sitaki, niacheeeeee
Atambe😂😂😂😂😂😂Hapo kamoyo koteee kapo kwa Wige unajitoa Ufahamu tu!!
Humo ndani kuna namba 2 za Chelsea 😂Mwenzio kila nikijaribu nashindwa, tena World cup inakuja soon, chama languagenaona kabisa haitoboi hata robo, maumivu tyuuh.
![]()
Wamemuondo jamaaa aliyeipenda Chesii kwa moyo wake 😂Laana ya Tuchel itawatafuna😂😂
Timu lishapoteana hili.
Nilivyoona mechi na Nyu cesto nikajiichekea tu🤣🤣🤣🤣🤣