Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 6,515
- 19,006
Kwahyo huwa hupendi hata kuogelea beach ⛱️.Sahihi , mambo yana wenyewe hao .
tuwaache .
Kwahyo huwa hupendi hata kuogelea beach ⛱️.Sahihi , mambo yana wenyewe hao .
tuwaache .
Labda nitembee ufukweni tu mie.Kwahyo huwa hupendi hata kuogelea beach ⛱️.
Mkewe mtarajiwa Tena wewHilo liko waziii mbona Shahidi mkeo mtarajiwa Saint Anne 🤣🤣🤣!!
Poker unanicheka tu 😂😂Kwahyo huwa hupendi hata kuogelea beach ⛱️.
KiongoziWigelekelo embu naomba uje basi hii vita imeanza kunishinda sasa nachangiwa nawewe umekaa tu unaniangalia
Kula mzigo mwanawaneJana aliposti picha nyingi sana kuna moja hiyo alipost ya kimtego mtego kaachia chuchu saa sita wazi nikabaki mdomo wazi hata kukutag nilisahau wewe Saint Anne acha majaribu tulia na mumeo Wigelekelo
Nimetema bungoNakaziaaaa..... Saint Anne ni wa Wigelekelo tu hakuna mwingine!!
Ulisikia wapiUkome
Mtu anaendesha gari kubwa Kama gorofa,ishu ndoto kama hii ya kutongoza inamshindaje

@Shimba ya BuyenzeWasukuma kwa Kingereza ndo wenyeweee, afu wengi wao wanaishi mambeleeee huko.
![]()
TTandam AbnormalCamera ya simu yako haikupasuka kweli!? Hilo sio wowowo kwa kweli ni tandam
heey!
![]()
Imagine uwe man city,Chelsea fan usiku wa Leo![]()
Watu wamechaniwa mikeka Hadi hurumaYamekandwa
Watu wamechaniwa mikeka Hadi huruma
Watu wamechaniwa mikeka Hadi huruma
Umeona wakurungwa Liver tulivyoyakanda yale maboya??🙈 Camera ya simu yako haikupasuka kweli!? Hilo sio wowowo kwa kweli ni tandam 🙌 heey! 🔥
Wapi hapa mwanawane....dah itakuwa ulimpelekea moto mrembo kwenye balcony usiku 🤣🤣🤣🤣mzabzab mwanawane kabwana mdogo kanafurahi out za jobless🤣🤣🤣View attachment 2415134
🤣🤣🤣 hela inauma lazima nae aipate fresh ya moto moto , ndani kuna vitanda vitatu, viwili vidogo kimoja kikubwa kila kakitanda kana bao lakeWapi hapa mwanawane....dah itakuwa ulimpelekea moto mrembo kwenye balcony usiku 🤣🤣🤣🤣