Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Morning lover's..
Namshukuru Mungu kumekucha salama.
Usiku wa jana nyumba ya jirani tu imewaka moto yani kila kitu kimeteketea zilikuja fire tatu, Mbili zilishindwa ya tatu ndio ikazima tena wazima moto walikua wamevaa gumboots, t-shirt na mikoto ya suti na wengine masweta sijawai shuhudia tukio kwa ukaribu kama hilo inasikitisha sana.
Nyumba nayoishi imepakana karibu kabisa na hyo nyumba lkn nliishia kubeba kibubu na nguo za mtoto za baridi.
Mungu atunusuru na majanga.
Tujitahidi pia kua makini. Amen
Poker Antonnia To yeye cocastic Carrasco putin Wigelekelo Mjep Tinsley Saint Anne Mtoto halali na hela sophy27 National Anthem Lenie
Pole sana Lovelovie Mungu akufanyie wepesi.
 
Safari..safarini...mguu wa kutoka..
IMG_20221112_123151_1.jpg
 
Za chini ya kapeti naskia ulikula nauli ya member mmoja hivyo ukaamua kubadili username 😂 yana ukweli wowote hayo Yna2.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndiyo bwana...nauli za watu hizi🙌🙌...😂😂
We nawe punguzamo sauti wakikusikia huko utawalipa wewe
 
Back
Top Bottom