Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mapenzi haychagui dini wala kabilaChaaa!! 😂
Msije nizibia rzki wajameni
Mbeya na waarabu wapi na wapi?
ni wako tu huyo .
A caring , loving and affectionate boyfriend .
Mapenzi haychagui dini wala kabilaChaaa!! 😂
Msije nizibia rzki wajameni
Mbeya na waarabu wapi na wapi?
Naomba urudishe moyo wako kwa Wigelekelo unampa maumivu sana kwani amekosa nini jamani mbona yeye anakupenda hivyo Saint AnneMimi nakutaka wewe aliyekutuma
Yna2 hilo jina nalikubali sana lirudishe basi!
Kwangu yanachagua aseeeeMapenzi haychagui dini wala kabila
ni wako tu huyo .
A caring , loving and affectionate boyfriend .
Mimi nakupenda wewe Poker,nimekufa nimeoza kwako.Naomba urudishe moyo wako kwa Wigelekelo unampa maumivu sana kwani amekosa nini jamani mbona yeye anakupenda hivyo Saint Anne
Saint Anne mbona wige anavaa suruali ya kitenge na shati la kitenge humtaki?Kwangu yanachagua aseeee
Yaani wakaka wa dini yangu wote hawa na wanavaaga zile satini suruali na vitenge niwaache kweli niende kwa waislam kweli jamani
Mim namaanisha birika la umeme love sio kile kidude cha mkonoPole Sana
inahitajika umakini mno na kumuomba Mungu tu .
heater si nzuri kutumia Bora hata birika la umeme.
Sana dearMijini Kuni ni changamoto
Wasukuma ni special caseSaint Anne mbona wige anavaa suruali ya kitenge na shati la kitenge humtaki?
Ukipenda mtu , aisee dini unasahau .Kwangu yanachagua aseeee
Yaani wakaka wa dini yangu wote hawa na wanavaaga zile satini suruali na vitenge niwaache kweli niende kwa waislam kweli jamani
Hivi we Saint Anne mbona hautaki kuwa romantic kabisa basi muonjeshe wige kidogo ainjoy huba lako nayeye ajihisi mtu kati ya watu please!Wasukuma ni special case
wasukuma wana upendo wa kweli babe .Wasukuma ni special case
Watoto hawapati shida wanafata kwa baba your so soo romantic nimeanza kuelewa kwanini huwa Carrasco putin anakusifu sana huna moyo wa jiwe kama wa Saint AnneUkipenda mtu , aisee dini unasahau .
ni ngumu sana kubadilish naelewa.
mnaweza aamua mkabaki hivyo sema watoto ndo wanapata shida d
Akili pia lazima itumike.Ukipenda mtu , aisee dini unasahau .
ni ngumu sana kubadilish naelewa.
mnaweza aamua mkabaki hivyo sema watoto ndo wanapata shida d
Kawaida sanaWatoto hawapati shida wanafata kwa baba your so soo romantic nimeanza kuelewa kwanini huwa Carrasco putin anakusifu sana huna moyo wa jiwe kama wa Saint Anne
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Wa sayari hii hii tuliopo mjombaa😂!Mie nakutaka wewe, na wewe waniletea vitu vya sayari ingine tena 🤨🤨🤨