Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,973
- 26,960
Kwema kabisa shem darling sijui wwKwema lakini shemudarling
Kwema kabisa shem darling sijui wwKwema lakini shemudarling
Yani bora hivo ccyBora yeye alipona aisee!!
Nyakibimbirii hukuu😁😁!!we uko wapi?
Wanasikia sasa! Vichwa ngumu kweli wewe ukitoka huyooo kiguu na njia!!Majirani wanafiki jamani kuwajaza tu maneno hao wadada.
na hapo ukimkanya ndo afadhali
Sie ndo wabongo 😂😂
Halfu tatu zoteWeka bei elekezi
Yeah hapo ndo shidaWanasikia sasa! Vichwa ngumu kweli wewe ukitoka huyooo kiguu na njia!!
Ccy me hua nawaambia watu bora tu tuonekane washamba mim gesi naiogopa mno mno.thank you , nikipika utanionea huruma nakagua gesi mara mbili mbili na kiberiti .
Mwaka huu si mzuri kabisa , tuombe tu Mungu .
ooh pole kwake jamani
Ulijuajee dear lol bodaboda washenzi sana yani wanawawehusha mno hawa mabinti wakazi!!Yeah hapo ndo shida
wapo naive sana
na boda boda wanavyo wavizia hapo tu ..anakujia na mimba.
Mimi niko poa/salama kabisa mdada mwenye sauti nyororo(in Poker voice)Kwema kabisa shem darling sijui ww
Pole sana shemeji yangu kipenzi mzuri
Kibubu

Hawa baraka ziwapate kiasi.Na browns skin wako katikati ya Baraka na kupambana au
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Khaaaa!!Kama Unataka demu sema unataka aweje na mkienda viwanja je ungependa avaaje?
Unataka mwenye hips kama Antonnia
Unataka mwenye kiuno cha dondola kama Tinsley
Au awe mweupe kama Alayna
Au modo kama cocastic
Mwenye lips denda kama za sophy27
Au awe anajua kupika kama Saint Anne
Au mwenye mvuto kama Lenie
Au sauti nyororo kama Lovelovie
Au aliyeshika dini kama Heaven Sent
Au mwenye miguu ya bia kama Nuzulati
Mwenye chuchu sa sita kama Kelsea
Mwenye wowowo kama Rumaiya
Mwenye mapozi ya kimamtoni kama Lizzy
N.B vigezo masharti vimezingatiwa
Duh pole kwa hiyo experience..Morning lover's..
Namshukuru Mungu kumekucha salama.
Usiku wa jana nyumba ya jirani tu imewaka moto yani kila kitu kimeteketea zilikuja fire tatu, Mbili zilishindwa ya tatu ndio ikazima tena wazima moto walikua wamevaa gumboots, t-shirt na mikoto ya suti na wengine masweta sijawai shuhudia tukio kwa ukaribu kama hilo inasikitisha sana.
Nyumba nayoishi imepakana karibu kabisa na hyo nyumba lkn nliishia kubeba kibubu na nguo za mtoto za baridi.
Mungu atunusuru na majanga.
Tujitahidi pia kua makini. Amen
Poker Antonnia To yeye cocastic Carrasco putin Wigelekelo Mjep Tinsley Saint Anne Mtoto halali na hela sophy27 National Anthem Lenie
Jirani wewe upo upande gani hapo?Sawasawa
Ndio ikoje hiyo kukagua gas na kiberiti?thank you , nikipika utanionea huruma nakagua gesi mara mbili mbili na kiberiti .
Mwaka huu si mzuri kabisa , tuombe tu Mungu .
ooh pole kwake jamani
Asante sana loveDuh pole kwa hiyo experience..
Mungu awatie nguvu wahanga
Mwee 😢Ccy me hua nawaambia watu bora tu tuonekane washamba mim gesi naiogopa mno mno.
Nishaona matukio matatu ya moto ulosababishwa na gesi yani lkn huu wa jana hapana aiseh
Na kuna siku nilisahau heater kweny umeme. Umeme ulikua umekata heater ikawaka na haikua na maji ndani ikaungua ikatoboa ndoo ya mafuta ya kupikia ilikua jikoni pembeni kuna gesi, na kuna friji.
Mtoto angu alikua amelala hajui kutembea moshi ukajaa ndani mim nmeenda kumpokea mgeni kuna rafk angu mwingine alikua sebuleni ety mtoto angu aloshika kitandani akaenda kumshika huku analia ndo kwenda kuzima hapo kweny socket na mtu wa mfagio.
Nilivokuja kuhadisiwa baada ya kumpokea mgeni sikulala wala kula siku hyo nlishinda nmemkumbatia mtoto angu
Dah masikini😢Morning lover's..