Wangu wa chumaWatoto hawapati shida wanafata kwa baba your so soo romantic nimeanza kuelewa kwanini huwa Carrasco putin anakusifu sana huna moyo wa jiwe kama wa Saint Anne
naongelea true loveAkili pia lazima itumike.
Umenikumbusha Kesho nimnunulie Junia Tambia anazipenda balaaa!Mmeamkaje
Karibuni chai ya saa sabaView attachment 2414381
Wehu sana nakwambia!!Boda boda sio poa .
wanawapata kiurahisi mno .
mdada yuko radhi amfungie mtoto ndani ili aongee na boda.
So sadWehu sana nakwambia!!
Leo Naomba kuwa msomajiiiii tyu mie🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇😉naongelea true love
You can fall in love with anyone
and once you've fallen in love , there is no point of return.
Sanaaa!!So sad
Ukipata aliyetulia ni bahati .
Karibu uwe katibu uu uLeo Naomba kuwa msomajiiiii tyu mie🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇😉
Namba zake ninazoooo😉😉!!Wa kienyeji kabisa huyu unakula na mifupa
Kabisa mie leo nanukuu tyuuu sitiii nenoooo✍️✍️✍️✍️Karibu uwe katibu uu u
Mjumbe Saint Anne ukuje hapa ..Kabisa mie leo nanukuu tyuuu sitiii nenoooo✍️✍️✍️✍️
Haupo pekeyakoMmeamkaje
Karibuni chai ya saa sabaView attachment 2414381
Kwema kabisaHaha!! Wigelekelo kwema brother
Nikubalie basi ombi langu PokerHivi we Saint Anne mbona hautaki kuwa romantic kabisa basi muonjeshe wige kidogo ainjoy huba lako nayeye ajihisi mtu kati ya watu please!
Nali missMmeamua kunisimanga nisie na tracker sio![]()
Carrasco putin na uborn town wako wote wewe ni wakuletewa zawadi ya shati la kitenge kwenye birthday yko na chori chori!![]()

Mjumbe Saint Anne ukuje hapa