Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ipi hiyo?😂

Atakula kwa macho
Kuna moja alinionyesha umevaa kagauni keusi kafupi
Screenshot_20221111-233529.jpg
 
Nayeye kanitumia muda hiyo picha. Na ndio picha ambayo huwa anaikubali sana, haswa akisifia kifua chako maridhawa na ukizingatia Saint Anne kilomita bado hazijasoma kabisa na ameniambia namna unavyoenda kwa mwamposa ndio kabisaa ye hoi bin taaban.
Chizi😂😂😂😂
Sikutegemea kama utaikumbuka picha na nywele nilizosuka😂
Sijui ulizionaje aloo🤣
 
Back
Top Bottom