National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
Poleni sanaHatuna cha kuwaza ndo maana 😂😂

Vipi mzeya uliweza kusasambua mbususu ata moja ya pale mlimani cityPoleni sana
Poleni sana mom,hongera kwa kuwa umepona....tunamshukuru Mungu kwa hiliMorning lover's..
Namshukuru Mungu kumekucha salama.
Usiku wa jana nyumba ya jirani tu imewaka moto yani kila kitu kimeteketea zilikuja fire tatu, Mbili zilishindwa ya tatu ndio ikazima tena wazima moto walikua wamevaa gumboots, t-shirt na mikoto ya suti na wengine masweta sijawai shuhudia tukio kwa ukaribu kama hilo inasikitisha sana.
Nyumba nayoishi imepakana karibu kabisa na hyo nyumba lkn nliishia kubeba kibubu na nguo za mtoto za baridi.
Mungu atunusuru na majanga.
Tujitahidi pia kua makini. Amen
Poker Antonnia To yeye cocastic Carrasco putin Wigelekelo Mjep Tinsley Saint Anne Mtoto halali na hela sophy27 National Anthem Lenie
Ooh my , Pole sana kwa wahangaMorning lover's..

Inasikitisha sana sis bora Mungu amewaepushia mbali ... Chanzo ni nini ??Morning lover's..
Namshukuru Mungu kumekucha salama.
Usiku wa jana nyumba ya jirani tu imewaka moto yani kila kitu kimeteketea zilikuja fire tatu, Mbili zilishindwa ya tatu ndio ikazima tena wazima moto walikua wamevaa gumboots, t-shirt na mikoto ya suti na wengine masweta sijawai shuhudia tukio kwa ukaribu kama hilo inasikitisha sana.
Nyumba nayoishi imepakana karibu kabisa na hyo nyumba lkn nliishia kubeba kibubu na nguo za mtoto za baridi.
Mungu atunusuru na majanga.
Tujitahidi pia kua makini. Amen
Poker Antonnia To yeye cocastic Carrasco putin Wigelekelo Mjep Tinsley Saint Anne Mtoto halali na hela sophy27 National Anthem Lenie
Morning babegirl!!kawaida tu
Shikamoo
Habari ya leo ?
Usiwaze kabesaa msukuma mie teinaaaahh💃💃😘!Siku nakupitishia
Tiketi ya ndege utinge
Hicho kivazi mwanawane
Nakwako pia mjeda! Enjoy your weekend!heri ya sabato,wote humu selfika
Shemeji poleni sanaMorning lover's..
Namshukuru Mungu kumekucha salama.
Usiku wa jana nyumba ya jirani tu imewaka moto yani kila kitu kimeteketea zilikuja fire tatu, Mbili zilishindwa ya tatu ndio ikazima tena wazima moto walikua wamevaa gumboots, t-shirt na mikoto ya suti na wengine masweta sijawai shuhudia tukio kwa ukaribu kama hilo inasikitisha sana.
Nyumba nayoishi imepakana karibu kabisa na hyo nyumba lkn nliishia kubeba kibubu na nguo za mtoto za baridi.
Mungu atunusuru na majanga.
Tujitahidi pia kua makini. Amen
Poker Antonnia To yeye cocastic Carrasco putin Wigelekelo Mjep Tinsley Saint Anne Mtoto halali na hela sophy27 National Anthem Lenie
Asante sana shemejiShemeji poleni sana
Yetu ipo salama kabisa. Chanzo ni jiko la gesi liliachwa on na kikarangio chenye mafuta kikaripuka.Alosababisha alikua nje na bwana ake anapiga stryInasikitisha sana sis bora Mungu amewaepushia mbali ... Chanzo ni nini ??
Asante kutukumbusha kuwa makini sis lakini yenu si mpaka saivi iko salama dahhh!!
Nitakuja kukupa poleAsante sana shemeji

Kuna moja nimeilewa sana kazi yake kesho naipeleka zanzibar ili nikafaidi pasipo mipaka nitaweka kabisa kavideo na tupicha🤣🤣🤣Vipi mzeya uliweza kusasambua mbususu ata moja ya pale mlimani city
Moto umeanza sa tano usiku umekuja kuzimwa kabisa kabisa sa saba kuelekea sa naneOoh my , Pole sana kwa wahanga
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Amen.
Ilikuwa usiku wa saa ngapi ?
Asante love yani nashukuru Mungu mno hakuna alojeruhiwaPoleni sana mom,hongera kwa kuwa umepona....tunamshukuru Mungu kwa hili