Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
karibu hapa break point,tu enjoy woteNakwako pia mjeda! Enjoy your weekend!
karibu hapa break point,tu enjoy woteNakwako pia mjeda! Enjoy your weekend!
Morning beautifulMorning babegirl!!
Poleni sana sanaMorning lover's..
Namshukuru Mungu kumekucha salama.
Usiku wa jana nyumba ya jirani tu imewaka moto yani kila kitu kimeteketea zilikuja fire tatu, Mbili zilishindwa ya tatu ndio ikazima tena wazima moto walikua wamevaa gumboots, t-shirt na mikoto ya suti na wengine masweta sijawai shuhudia tukio kwa ukaribu kama hilo inasikitisha sana.
Nyumba nayoishi imepakana karibu kabisa na hyo nyumba lkn nliishia kubeba kibubu na nguo za mtoto za baridi.
Mungu atunusuru na majanga.
Tujitahidi pia kua makini. Amen
Poker Antonnia To yeye cocastic Carrasco putin Wigelekelo Mjep Tinsley Saint Anne Mtoto halali na hela sophy27 National Anthem Lenie
That must be devastatingMoto umeanza sa tano usiku umekuja kuzimwa kabisa kabisa sa saba kuelekea sa nane
Mwenza mzima kabisaNitakuja kukupa pole
Vipi mwenza wako hajambo![]()
Duh so sadYetu ipo salama kabisa. Chanzo ni jiko la gesi liliachwa on na kikarangio chenye mafuta kikaripuka.Alosababisha alikua nje na bwana ake anapiga stry
Nawe piaheri ya sabato,wote humu selfika
Mungu mwema, natumai muwazimakawaida tu
Shikamoo
Habari ya leo ?
Asante sana brother MshanaPoleni sana sana
Wazima huku .Mungu mwema, natumai muwazima
Yani inasikitisha na inaogofya mim nilisema acha nitoe mtoto angu maan Moshi ulikua mkubwa.Duh so sad
Bora ulitoa vitu hivyo .Yani inasikitisha na inaogofya mim nilisema acha nitoe mtoto angu maan Moshi ulikua mkubwa.
Vitu vilikua vikilipuka mno huko ndani
Yani inahitajika umakini mkubwa sana.Bora ulitoa vitu hivyo .
Mungu awe nanyi na kuwapa faraja
gesi hizi tunazitumia basi tu .
Inahitajika umakini mkubwa.
Weekend iko vyedi kipenzi vipi wewe weekend yako!!!?Morning beautiful
habari ya weekend.
Barikiwa sanaAsante love yani nashukuru Mungu mno hakuna alojeruhiwa
Kweli dear upo sahihiYani inahitajika umakini mkubwa sana.
Lkn nilichojifunza ccy kuokoa uhai ni muhimu vitu vingine vitatafutwa hapo ni ngumu kufikii hatua ambayo mtu kafikia lkn kuokoa uhai ni muhimu sana
Asante nakuja mjedaa!!karibu hapa break point,tu enjoy wote
so far , so goodWeekend iko vyedi kipenzi vipi wewe weekend yako!!!?
Pole sana shemeji yangu kipenzi mzuriMorning lover's..