Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli dear upo sahihi
life is the most important thing .
Mungu awasaidie katika nyakati hizo

naogopaga gesi , nishawahi kunusurika ajali ya gesi wakati nipo chuo.
mtu aliacha gesi inaleak ndani humo, nimerudi nikafikia kulala ndani huko
Mimi Ndiomana nisipokuepo siruhusu kabisa binti wa kazi apikie gesi nakua na wasiwasi yaeza walipukia make Junia mtundu sana anapenda ku jaribu jaribu vitu anavyoona mnavifanya wengine...plus mabinti wengine hawako makini yanii inaeza leta balaa kama hivo! Ni Hatari sana!!
Kama jana Usiku ile nataka kupikia Gesi Junia aniambia leta niwashe mimi najua kuwasha mama..Nikamwambia wee mtoto koma kama ulivokoma kwenye ziwaa usiniletee balaa mie😉😣! Nilimkataza kabisa hio tabia!!
 
Kweli dear upo sahihi
life is the most important thing .
Mungu awasaidie katika nyakati hizo

naogopaga gesi , nishawahi kunusurika ajali ya gesi wakati nipo chuo.
mtu aliacha gesi inaleak ndani humo, nimerudi nikafikia kulala ndani huko
Pole sana ccy tujitahidi kua makini sana na watoto pia tuwafundishe vitu vya hatari.
Huu mwaka umekua mbaya sana mwezi wa tisa ndugu yangu aliunguliwa nyumba na vitu vya biashara vyote.
Alf alikua mjamzito
 
Mimi Ndiomana nisipokuepo siruhusu kabisa binti wa kazi apikie gesi nakua na wasiwasi yaeza walipukia make Junia mtundu sana anapenda ku jaribu jaribu vitu anavyoona mnavifanya wengine...plus mabinti wengine hawako makini yanii inaeza leta balaa kama hivo! Ni Hatari sana!!
bora usimruhusu apike tu mkaa hapo
wale akili bado hazijatulia
akipigiwa tu simu , huyo kujichekelesha tu.
 
Mimi Ndiomana nisipokuepo siruhusu kabisa binti wa kazi apikie gesi nakua na wasiwasi yaeza walipukia make Junia mtundu sana anapenda ku jaribu jaribu vitu anavyoona mnavifanya wengine...plus mabinti wengine hawako makini yanii inaeza leta balaa kama hivo! Ni Hatari sana!!
Ccy yani bora hivo
 
Pole sana ccy tujitahidi kua makini sana na watoto pia tuwafundishe vitu vya hatari.
Huu mwaka umekua mbaya sana mwezi wa tisa ndugu yangu aliunguliwa nyumba na vitu vya biashara vyote.
Alf alikua mjamzito
Jesus!!🙆🙆🙆🙆🙆!!! Mbonaa hatari sana uwiiii!!
 
Pole sana ccy tujitahidi kua makini sana na watoto pia tuwafundishe vitu vya hatari.
Huu mwaka umekua mbaya sana mwezi wa tisa ndugu yangu aliunguliwa nyumba na vitu vya biashara vyote.
Alf alikua mjamzito
thank you , nikipika utanionea huruma nakagua gesi mara mbili mbili na kiberiti .

Mwaka huu si mzuri kabisa , tuombe tu Mungu .
ooh pole kwake jamani
 
Hiko kitu mabinti sijui wametogwa jamani!! Nilivo sipendi umbea wa kuongea ongea na majirani mimi akija tu huwa namuweka chiniiiii namkanya vyakukanywa!!
Majirani wanafiki jamani kuwajaza tu maneno hao wadada.
na hapo ukimkanya ndo afadhali
Sie ndo wabongo 😂😂
 
Back
Top Bottom