National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
Jamani Poker mbona mie hata kiuno hakionekani 😂😂Kama Unataka demu sema unataka aweje na mkienda viwanja je ungependa avaaje?
Unataka mwenye hips kama Antonnia
Unataka mwenye kiuno cha dondola kama Tinsley
Au awe mweupe kama Alayna
Au modo kama cocastic
Mwenye lips denda kama ka sophy27
Au awe anajua kupika kama Saint Anne
Au mwenye mvuto kama Lenie
Au sauti nyororo kama Lovelovie
Au aliyeshika dini kama Heaven Sent
Au mwenye miguu ya bia kama Nuzulati
Mwenye chuchu sa sita kama Kelsea
hao ndo tunawapenda 😂😂
NopeWe kipo bana kiuno kama dondola kwenye kumi bora hukosekani kabisaaa.
Kheee anajua size ya kiuno chako kweli mapenzi nigaragaze nyie mpende sana Poker
Akuu 😂😂 ushanifundisha mwendo wa 1month free trial😀😀😀😀 nakuchangia buku tano basi 🤣🤣🤣
Is an Iphone 21 Pro Max for me 🤣🤣




Kabisaa mkuu!😊
black ndo mpango mzimaUnapenda mwanaume mweusi ww ni jambazi![]()