Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,528
- 235,271
You've done me well Jesus
Karibu tenaMaji yakirudi nitarudi
Sawa mheshimiwaMkuu,
Umeshatoka kupiga cha Malawi nini? Tulia basi mzee, maneno makali wala sio poa mkuu, learn to respect others.
Ndiyooo[emoji4]Unataka kile kigauni?
Si unajua leo ijumaa so walaze madogo mapema mapema kabisaaaaa mkuu😆Mtumishi Darlin Usiku mwema, mda wa maombi ya familia kabla watoto hawajalala.. kabla ya ile mida yetu 😀😀View attachment 2406881
Nkamu hapa umetupiga kamba[emoji23]
Wewe ni mrembo halafu msafi sana
Shkamoo mwaalimu
Naomba ng'ombe mmoja wa kulimia
hamna bana[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Ndo maana huwa natembea na kisu au pepper spray,,Asante sana Mkuu.
Nadhani inatokea tu nipo kawaida sio mrembo na navaa mavazi ya kawaida suruali…gauni sidhani kwa mtumishi wa Umma anaweza kuvaa mavazi ya kuexpose mwili.
Kweli tena,hamna bana[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Duh!Ndo maana huwa natembea na kisu au pepper spray,,
Anavuta vizuriHahaha hawa wa biashara hawawezi vuta plau, hukuja makumbusho kupata masomo ya ziada [emoji3]
Aisee bila kimoja kati ya hvo viwili najihisi sijakamilikaDuh!
Visu Tena[emoji849]
Chaa[emoji23]Aisee bila kimoja kati ya hvo viwili najihisi sijakamilika
Vimenisave kinyama,, lazima nivibebeChaa[emoji23]
🤣🤣Maji yakirudi nitarudi