Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,403
- 12,020
Nataka kuokoka ila nashindwa,
Simanishi niwe makanisa ya kupiga kelele,hapana!
Mimi si mtu wa wanawake,
Sisengenyi,sina chuki ila ni mtu wa visasi,ukinikosea sikutafuti ila ukiingia 18 zangu sikuachi,na nimeshindwa kuacha hio tabia....
Sio mlevi ila nakunywa kiasi,kama bia tatu kubwa kwa siku na nimeshindwa kuacha...
Sivuti ila natafuna tumbaku(chewing tobacco).
Nashindwa kuacha,msaada tafadhali,nafanya kwa siri,nmejitahidi kuacha nashindwa.